Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Mtu yule anataka waandike kumsifia tu, wafunge na vi-tivii chaneli vyote
 
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

========

NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Yaani nitoe 1000 kununua Gazeti? Simu yangu ya kiganjani inanipa kila kitu. Hii Media ya Magazeti ni ya Kizamani. Wajikite kwenye Media kama Radio na Tv
 
Magazeti na vyote vya habari ni kuimba mapambio kila kukicha.

Vyombo vya habari vingine vijiangalie anguko taratibu, watu watahamia kufatilia media za nje kwa moyo wote.
 
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

========

NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Sasa wife atafungia nini vitumbua pale sokoni?
 
nani atanunua gazeti kutwa kuchwa linapost habari ambazo ni oriented kwa watu fulani
issue nyingine hiyo kampuni ni zembe ilishindwa kuchange na teknologia nowadays social media na online platform nyingine ndio zina nguvu wangewekeza huku

wao waliwekeza kwenye nakala ngumu tuu
 
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

========

NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Hawa si wale ambao juzi wakina Halima walivyofukuzwa uanachama heading ikawa "Chadema kwazidi kufukuta" wakati heading ilikuwa wazi kabisa. Watu wengi makini siku hizi tumeacha kabisa kusoma magazeti karibia yoote ya hapa nchini hasa baada kugundua kuwa yanahaririwa Lumumba...hii kitu ilitegemewa saana na bado mengi yatafungwa.
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Kwa hiyo TSN
True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti

Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Wanaandika UTOPOLO acha kwanza waisome namba.
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Hata wewe siwezi kukulaumu,ila waandishi,waandishi,na wanahabari wenyewe wamechimba makaburi ya media, huyo amewahi kuzikwa maziko bado yataendelea, Hadi akili zitakapo wakaa sawa.
 
Sikuhizi kuna Msemo mpya TBCCM unaitwa Raisi Dokta Magu..... Msikivu!

Tuona huo Usikivu kwa hawa Majamaa...
 
Ki
Wakome kujidai wako kichama zaidi.

UCHUMI wa kati unawaumbueni, biashara zinakufa, hata biashara za Serikali kwishney
Sema kweli....
Huwa unanua gazeti...?
Mara ngapi kwa mwezi...>
 
Unalijua the daily mail la uingereza?nakala 600000 per day na kule kuna mitandao,nenda usa magazeti yanauza sana
Bado wanauza, hasa kwa old generation readers lakina biashara imeshuka sana. Kasome utafiti wa Jane Kiguta 'the effects of social medias on print journalism.
 
Kumbuka sasa hivi kwa mtu ambaye hayuko chuo au shule ni wachache sana wanaosoma vitabu vya kawaida isipokuwa Biblia na vitabu vingine vya dini. Hivyo biashara ya magazeti lazima tu iangukie pua. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Kama 99.9% ya Media zote za Tanzania zimewekwa Mfukoni mwa Mtu Mmoja na zikimkatalia wananyimwa Matangazo unadhani watajiendeshaje?
Mkuu hiki kijigazeti kilisifu na kuabudu sana. Hasa hiki kipindi Cha mpito August mpaka October. Kilidhani kitapewa kajiupendeleo kwenye matangazo.
 
Mtizamo wa wenzetu waandishi wa habari wanavyo ripoti habari kwa kina na kutoa picha halisi kubwa ya sababu ya tukio: ripoti ipo clear, organized, persuasive and of unique value

04 November 2020
Instabul , Turkey

5-star hotel in Tanzania turned into students’ hostel​

Tourist paradise has been mired in financial doldrums triggered by coronavirus outbreak​

Kizito Makoye |03.12.2020

DAR ES SALAAM, Tanzania
Tanzania’s hospitality paradise, the Ngurdoto Mountain Lodge, which used to draw many international visitors to the country’s northern tourist circuit of, Arusha, has been converted into a students’ dormitory on a lease agreement as the gloomy business climate drove the property to the brink of financial ruin.

The novel coronavirus outbreak was the final straw for the battered hotel industry, which suffered losses due to travel restrictions to curb the disease.
As the virus spread, the country’s hospitality industry suffered as corporate and business travelers, who account for the bulk of hotel revenues, cut back on travel spending.

The Ngurdoto Mountain Lodge, renowned for hosting the 2008 Leon H. Sullivan Summit, was forced to shut down due to poor business as a result of the outbreak.

Eliamani Sedoyeka, the principal of the Arusha Institute of Accountancy, confirmed that the college has leased the hotel.

According to Sedoyeka, the move to lease the hotel was prompted by a surge of new students who have been admitted this year.

“We were overwhelmed by new requests for admission. That’s why we decided to find a new accommodation,” he said.
The landmark company that manages the hotel confirmed the agreement, adding that each student would pay 400,000 Tanzanian shillings (around US$173) per year.

According to Sedoyeka, some rooms have been facelifted to include double beds.

Equipped with 300 bedrooms and seven presidential suites, the hotel, built in 2003, is reminiscent of former Democratic Republic of Congo President Mobutu Sese Seko’s Gbadolite Presidential Palace deep in the Congo jungle.

“Initially, some students were not willing to move in. But now, everyone is motivated to settle there. Some of them really like the environment. They share videos on social media,” he said.

Source : https://www.aa.com.tr/en/africa/5-star-hotel-in-tanzania-turned-into-students-hostel
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
You seem to know a thing or two, but the way you present some of your contents leaves a lot to be desired.
 
Kumbuka sasa hivi kwa mtu ambaye hayuko chuo au shule ni wachache sana wanaosoma vitabu vya kawaida isipokuwa Biblia na vitabu vingine vya dini. Hivyo biashara ya magazeti lazima tu iangukie pua. Huo ndio ukweli mchungu.
Tuweni wakweli tuwe wakweli hata mwenye uwezo wakupata habari kidigitali hayuko tayari kusoma habari zisizo na maana.
 
Uchumi wa kati katika ubora wake. Fanya kumi kabisa ITAPENDEZA!

Back
Top Bottom