Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Kuingiza baridi ndio nini?
Kuogopa
Kuingiza baridi ndio nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilivisahau nileteeni..!
Na mtu atatumbuliwa lazima...tusubiriHuenda wameona kuna mtumbuo
Swali gumu ambalo wakikujibu itabidi ufanye shangwe!Sasa ilikuwaje TPA wakakubali kushushwa kwa kitu ambacho mmiliki hajatajwa kwenye bill of landing
Hahahahaha sana tena mnoNchi hii ina maajabu mengi sana
Wahujumu Uchumi na majizi mnahaha kila kona. Eti "Tambo" ....Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini, Engineer Deusdedit Kakoko amesema vichwa vya treni vinavyodaiwa kutelekezwa bandarini ni mali ya shirika la Reli nchini TRL na kwamba vina nembo ya TRL (Tanzania Railway Limited). Kakoko amesema TRL walinunua vichwa hivyo bila kufuata utaratibu kutoka kampuni ya EMD ya nchini Marekani, lakini vimetengenezwa na kampuni ya DCD ya nchini Afrika Kusini.
Maelezo ya Kakoko yanahitimisha taarifa "zilizovumishwa" hivi karibuni kuwa vichwa hivyo havina mwenyewe. Kwa lugha rahisi ni kwamba Engineer Kakoko amesema SI KWELI kwamba vichwa hivyo havina mwenyewe. Kakoko anasema ni vya TRL na vina nembo ya TRL.
MyTake:
Nimetafakari sana maelezo ya Kakoko nikakumbuka zile tambo za juzi kwamba tumekamata vichwa vya treni ambavyo havina mwenyewe. Nikajiuliza lengo la tambo zile lilikua nini? Kama Kakoko alijua vichwa ni vya TRL ilikuaje "mwenye nyumba" akasema havina mwenyewe? Hakumuuliza Kakoko? Alidanganywa? Alijua ukweli lakini akatupotosha? Ili iweje? Kwa faida ya nani?
Kwani angesema ni vya TRL lakini vilinunuliwa bila kufuata utaratibu kungekua na tatizo gani? Kwanini aseme uongo kuwa havina mwenyewe wakati vina nembo ya TRL? Ina maana hakuona hata nembo? Au hiyo nembo iliwekwa baada ya "mwenye nyumba" kuondoka? Anyway tuendelee kumuombea.!!
Mnakuwaga na kihere here cha kuandika cha nini..Hebu soma hii link hapa.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini, Engineer Deusdedit Kakoko amesema vichwa vya treni vinavyodaiwa kutelekezwa bandarini ni mali ya shirika la Reli nchini TRL na kwamba vina nembo ya TRL (Tanzania Railway Limited). Kakoko amesema !
TPA wanafahamu ni vya TRL ndio maana wamevishusha, kwani huko vilipotengezwa hapafahamiki au?Swali gumu ambalo wakikujibu itabidi ufanye shangwe!
halafu ati virejeshwe vilikotoka!!! kwa gharama za nani?
Wataendelea kupiga dili mpaka basi!
Mh! Jana niliona mahojiano yake na simu TV akikana kata kata kwamba vichwa vile si vya TRL.
TPA wanafahamu ni vya TRL ndio maana wamevishusha, kwani huko vilipotengezwa hapafahamiki au?
...bill of lading...Umeisoma bill of landing au unaota?
Utakalia hivyo hivyo wenzako wanasonga mbele.Nchi ya mavi-wonders.
Nashangaa kuona vyombo vya serikali vikitupiana mipira