Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Waitwe ya nini? Si kuna whats app video call?Mbona rahisi sana hii
MTU AWAITE WATENGENEZAJI,WASAFIRISHAJI WAJE WATUAMBIE VIMETOKA WAPI NA VINAKWENDA KWA NANI
Waitwe ya nini? Si kuna whats app video call?Mbona rahisi sana hii
MTU AWAITE WATENGENEZAJI,WASAFIRISHAJI WAJE WATUAMBIE VIMETOKA WAPI NA VINAKWENDA KWA NANI
Sasa sijui kati yangu na wewe nani ambaye hajaenda shule? Unachoongea sasa hivi ni kusupport Yale aliyosema Raisi na ndiyo ninalolijuwa mimi. Kwamba vile vichwa havijaja pasipo kuwa na mwenyewe. Ila jua kuwa hadi Raisi ameenda pale kufungua ule mradi wa ukarabati, hakukuwa na jibu la nani alileta vile vichwa pale na mwenyewe ni nani. Tatizo lako, akili yako haina akili ya kuchambua maswala ya msingi. We umekalia umbea tu.Hivi wewe kwa akili yako tu ya kawaida,achilia mbali ya darasani ambayo sijui kama unayo au la!, unakubaliana na hoja kwamba vichwa vya treni vinawaeza kusafirishwa hadi bandarini na vikashushwa bila kuwa na mwenyewe,mbona basi bidhaa nyingine kama magari,ndege,meli n.k visiwe vinakuja vyenyewe vinajishusha hapo bandarini halafu watu wanaenda kujiokotea!! grow up nigga!
Acha hizo bhana,uwe unajiridhisha kabla hujakosoa!Futa kabla hujaonwa na wengiNa wewe umekosea ni BILL OF LOADING
Na wewe umekosea ni BILL OF LOADING
Hahaa, wanaogopa hata kuvisogelea vinaunguzaHahahaa!! wakati vinaagizwa havikuwa na moto leo vimegundulika hakuna anaye visogelea vina moto hatari!!!! dah!! kweli zama zinabadilika
na unamrudishia wakati biashara ilishakwisha na mzigo umeletwaSwali gumu ambalo wakikujibu itabidi ufanye shangwe!
halafu ati virejeshwe vilikotoka!!! kwa gharama za nani?
Wataendelea kupiga dili mpaka basi!
Mimi nashangaa sana mkuu, kitu kimeandikwa TRL lakini mhusika hataki hata kusikia jina linatajwa kwamba yeye ndo mhusika haya ndo maajabu yaliyopo Tz.Hahaa, wanaogopa hata kuvisogelea vinaunguza
sasa kwa nm wanakataa kitu walichoagiza na kulipia?Mkuu vichwa ni vya TRL; tena nasikia walishalipa cash.
Hata wakivikataa, supplier hana hasara.
Hii ni dili ya zamani kabla hajaingia JPM. Huwezi kuisafisha hii nchi bila kufufua makaburi kama haya.Hivi watu bado hawajaacha kuchakachua, huyu Mzee sio kabisa, wabadilike tu!!!!
hakuongea akiwa sengerema muwe mnamuelewa jamaniWanamuiga baba nkwabi na yeye si alisema wakuu wa mikoa na wilaya sio watumishi wa umma lakini leo hii sengerema kasema ni watumishi wa umma
Jaman naomba wanipe mimi wasivirudishe ni fursa na ajira km hao mafisadi wameturudishia chenjiSasa si wavitumie ujue sisi ni wajinga sana
Imetelekezwa kama tenga la nyanya!Hivi vichwa viliagizwa na mwakyembe wakati bado Waziri wa miundo mbinu. Anatakiwa kuhojiwa