Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

...mwisho wa mchezo wa rushwa TRL, hingera JPM. Ni michezo ya akina Chenge waliyoizoea miaka yote lakini leo kila mtu anakana kuhusika baada ya mali kuwasilishwa. Hakika sasa Tanzania inasonga mbele bila rushwa.

Hapa kilicho bayana (kwa intelligence ya kawaida) ni kuwa kuna 'watu waliishajipanga kuwa middlemen' kuvipokea na kisha kujifanya ndio wauzaji/suppliers (wakati pesa inalipwa na TRL) wa vichwa hivyo TRL. Tofauti kati ya bei halisi na bei ya muuzaji ndio ingekuwa halali yao. Pengine kiasi hicho ni kikubwa zaidi ya bei halisi ya vichwa hivyo vya gari moshi. Sasa wapiga dili hao wanaogopa kujitokeza kukwepa cha moto.
 
Wakuu nahisi tumbo la kuharisha gafla baada ya kusoma hii mada.

Hivi aspirini inakata kuharisha?
 
~~>>>Kama hivyo havina mwenyewe wavinipe nikafugie kuku
 
!
!
Huku wanaume wanaona, kule kuna majambazi sijui Ugadi sijui ujinga gani, huku polisi wana haha na chadema, kule kuna vichwa vya treni havina mwenyewe khaaaa
Halafu utasikia kuna wanasiasa/watu wanaropoka.. akamatwe awasaidie polisi awe wa mwendo wa pole pole au anatembea haraka haraka
 
MyTake:
Nimetafakari sana maelezo ya Kakoko nikakumbuka zile tambo za juzi kwamba tumekamata vichwa vya treni ambavyo havina mwenyewe. Nikajiuliza lengo la tambo zile lilikua nini? Kama Kakoko alijua vichwa ni vya TRL ilikuaje "mwenye nyumba" akasema havina mwenyewe? Hakumuuliza Kakoko? Alidanganywa? Alijua ukweli lakini akatupotosha? Ili iweje? Kwa faida ya nani?

Kwani angesema ni vya TRL lakini vilinunuliwa bila kufuata utaratibu kungekua na tatizo gani? Kwanini aseme uongo kuwa havina mwenyewe wakati vina nembo ya TRL? Ina maana hakuona hata nembo? Au hiyo nembo iliwekwa baada ya "mwenye nyumba" kuondoka? Anyway tuendelee kumuombea.!!

Usiziite tambo mkuu, sema furaha kupita kiasi kwa "mwenye nyumba". Ndivyo alivyo. Huona fahari kuficha shilingi kwenye jivu halafu anaenda kufukua na kusema, nnani kaficha hapa. Ili aonekane kuwa anajua kunusanusa.
Tatizo ninaloliona kwa hawa watengeneza mchezo huu ni kwamba wamewaona wa Tz kuwa mapoyoyo kweli kweli. Sasa, badala hata ya kuweka vitu ka malori makuuubwa au hata meli vitu ambavyo hupitia njia za wengi wanaweka vichwa vya treni??? Treni ina njia moja tu, reli. Na reli yetu ni sole owner. Yaani ni mali hallal ya TRL wala hakuna partner. Sasa, iweje mtu anunue vichwa vya treni ambavyo hata kama vilikuwa vinapelekwa nje ya nchi kama yale mahindi ya Moshi, huwezi vibeba kwa lori. Lazima vipitie kwenye reli.
Hao wataalam wa mizinga hii wabuni mbinu nyingine. Wewe Kakoko ukitumbuliwa utasema umeonewa?? Haya, anza kuweka ofisi sawa, akirudi Sengerema asikukute kwa sababu ulimdanganya. Umejitumbua mwenyewe
 
Vimenunuliwa bila kufuata ushauri wa kampuni ya marekani lakini vimetengenezwa Afrika kusini. Aliyeelewa msaada tafadhali.
 
Hivi hivyo vichwa kuwa na nembo ya TRL ndiyo kunadhibitisha kuwa ni vya TRL?
Alitakiwa atoe ushahidi wa nyaraka ndiyo tungemuelewa...au anataufata kupangiwa kazi nyingine?
 
Kama utambulisho ni nembo ya TRL inamaana rais akiongea hizo nembo hazikuwepo? au ziliwekwa usiku?
 
Baba mwenye nyumba wa nchi hii ni Raisi, hivyo kila kitu kinachohusu ndani ya Nyumba yake ni lazima apate taarifa zilizonyooka.
Wewe na hao wanafiki wenzio mnataka kupotosha umma wa watanzania ionekane kwamba mh. Raisi katudanganya. Wewe ndiyo mpotoshaji mkubwa pia ni muongo mkubwa na hicho kikundi chenu kidogo ambacho kazi yenu kugeuza maneno ya ukweli ili yaonekane ni uongo.
Tahadhali kwa nyie ambao mnajifanya hamjui kuwa Mali za nchi hii ilikuwa inaishia kwenye matumbo ya wabaya wachache. Mtakwenda na maji pasipo kupata msaada wa msamaria mwema.
Inaelekea unajifunza kuandika
 
Kakoko anasema ni vya TRL na vina nembo ya TRL.
Kwani ni kielelezo gani ni muhimu juu ya mzigo? ni nembo au yale makaratasi ya kusafirishia mzigo? Je, na zile jezi 5000 zitakuwa zimeripotiwa vibaya?
 
Ama kwa kweli Watanzania, bandari yenu hiyo chochote kinaweza kikashushwa na maisha yakandelea. Yaani hadi inafikia vichwa kumi na vitatu vibovu vya treni vinashushwa toka kwa meli hatimaye inageuza, halafu rais anashtukiza hapo bandarini na kuvikuta, la kushangaza nyote mnakana kwamba havina mmliki. TPA na TRL wanatupiana kama mpira wa magogo.

Moja, mbili, tatu, nne hadi kumi na tatu, vichwa vya treni vinawaibukia kimiujiza kwenye enzi hizi hatari za mabomu....... Halafu mumevikimbia na kuvitelekeza, hakuna anayetaka kuhusishwa.

Sasa kwa huo ukajanja wenu ndio mnataka tuendelee kununua gesi zenu zinazotulipukia?? Mkiambiwa zipitie kwenye vifaa vyetu vya ukaguzi mnaanza kupiga makelele. Hivi taasisi zenu za ukaguzi zina kazi ipi au majukumu yapi, hehehe yaani Bongo movie kila siku hata yale makinikia.
 
Kwanza huyo aliekanusha ndo wa kuanza nae,
akiminywa makende sawasawa atasema tu...
Unajua hawa watakatisha hela bila kuwakomalia watatusumbua sana..
Itakuwa hela zilipigwa hapa
Huo sio utaratibu mzuri uchunguzi wa kina ufanyike hatuko syria au eritrea!
 
Back
Top Bottom