Viingozi mbalimbali hawana maamuzi awamu hii..Maamuzi yote ni kutoka magogoniMalaika kawajaza woga hata wanashindwa kufanya kazi zao barabara na hivyo kuanza kutupiana mpira kwa kuhofia kutumbuliwa. Kumbuka ya Nape na Lawrence Mafuru aliyekuwa msajili wa hazina. Hawa hawakuwa na kosa lolote lile bali kufanya kazi zao vile ipasavyo lakini bado wakaishiwa kufutwa kazi.
Na watu walishavuta 10% yaoMkuu vichwa ni vya TRL; tena nasikia walishalipa cash.
Hata wakivikataa, supplier hana hasara.
Nimekuwekea source mdauMkuu tupe na source kumaliza ubishi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa Tanzania yetu hii wenye uwezo wa kuleta vichwa vya treni ni TRL na TAZARA basi. Kwenye ushushaji wa mzigo bandarini kuna docs za mzigo binafsi kuonyesha umetoka wapi na unakokwenda. Kwa style yetu ya maamuzi kama ni kweli ingekuwa havijulikani vilikotoka jana hiyo hiyo kuna watu wangetumbuliwa kwa uzembe lkn wapi kimyaaa...... . [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya bwana, tutafika tu hata kwa kutambaa.Baba mwenye nyumba wa nchi hii ni Raisi, hivyo kila kitu kinachohusu ndani ya Nyumba yake ni lazima apate taarifa zilizonyooka.
Wewe na hao wanafiki wenzio mnataka kupotosha umma wa watanzania ionekane kwamba mh. Raisi katudanganya. Wewe ndiyo mpotoshaji mkubwa pia ni muongo mkubwa na hicho kikundi chenu kidogo ambacho kazi yenu kugeuza maneno ya ukweli ili yaonekane ni uongo.
Tahadhali kwa nyie ambao mnajifanya hamjui kuwa Mali za nchi hii ilikuwa inaishia kwenye matumbo ya wabaya wachache. Mtakwenda na maji pasipo kupata msaada wa msamaria mwema.
Hivi wewe kwa akili yako tu ya kawaida,achilia mbali ya darasani ambayo sijui kama unayo au la!, unakubaliana na hoja kwamba vichwa vya treni vinawaeza kusafirishwa hadi bandarini na vikashushwa bila kuwa na mwenyewe,mbona basi bidhaa nyingine kama magari,ndege,meli n.k visiwe vinakuja vyenyewe vinajishusha hapo bandarini halafu watu wanaenda kujiokotea!! grow up nigga!Baba mwenye nyumba wa nchi hii ni Raisi, hivyo kila kitu kinachohusu ndani ya Nyumba yake ni lazima apate taarifa zilizonyooka.
Wewe na hao wanafiki wenzio mnataka kupotosha umma wa watanzania ionekane kwamba mh. Raisi katudanganya. Wewe ndiyo mpotoshaji mkubwa pia ni muongo mkubwa na hicho kikundi chenu kidogo ambacho kazi yenu kugeuza maneno ya ukweli ili yaonekane ni uongo.
Tahadhali kwa nyie ambao mnajifanya hamjui kuwa Mali za nchi hii ilikuwa inaishia kwenye matumbo ya wabaya wachache. Mtakwenda na maji pasipo kupata msaada wa msamaria mwema.
Na wewe umekosea ni BILL OF LOADINGSahihisho,huitwa ni "BILL OF LADING" na siyo LANDING.
Ila content ya hoja yako imeeleweka.
Kiki hizi zitampeleka puta JPMMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini, Engineer Deusdedit Kakoko amesema vichwa vya treni vinavyodaiwa kutelekezwa bandarini ni mali ya shirika la Reli nchini TRL na kwamba vina nembo ya TRL (Tanzania Railway Limited). Kakoko amesema TRL walinunua vichwa hivyo bila kufuata utaratibu kutoka kampuni ya EMD ya nchini Marekani, lakini vimetengenezwa na kampuni ya DCD ya nchini Afrika Kusini.
Maelezo ya Kakoko yanahitimisha taarifa "zilizovumishwa" hivi karibuni kuwa vichwa hivyo havina mwenyewe. Kwa lugha rahisi ni kwamba Engineer Kakoko amesema SI KWELI kwamba vichwa hivyo havina mwenyewe. Kakoko anasema ni vya TRL na vina nembo ya TRL.
Source:
Mmiliki wa vichwa 13 vya treni bandarini afahamika
MyTake:
Nimetafakari sana maelezo ya Kakoko nikakumbuka zile tambo za juzi kwamba tumekamata vichwa vya treni ambavyo havina mwenyewe. Nikajiuliza lengo la tambo zile lilikua nini? Kama Kakoko alijua vichwa ni vya TRL ilikuaje "mwenye nyumba" akasema havina mwenyewe? Hakumuuliza Kakoko? Alidanganywa? Alijua ukweli lakini akatupotosha? Ili iweje? Kwa faida ya nani?
Kwani angesema ni vya TRL lakini vilinunuliwa bila kufuata utaratibu kungekua na tatizo gani? Kwanini aseme uongo kuwa havina mwenyewe wakati vina nembo ya TRL? Ina maana hakuona hata nembo? Au hiyo nembo iliwekwa baada ya "mwenye nyumba" kuondoka? Anyway tuendelee kumuombea.!!
Ni vibovu na gharama yake kubwa aidha havikufuata taratibu za ununuzi ndo maana kila mtu anavikwepaMbona wanajiuma uma
Hakuna kitu kama hicho.Na wewe umekosea ni BILL OF LOADING
Kwani angesema ni vya TRL lakini vilinunuliwa bila kufuata utaratibu kungekua na tatizo gani? Kwanini aseme uongo kuwa havina mwenyewe wakati vina nembo ya TRL? Ina maana hakuona hata nembo? Au hiyo nembo iliwekwa baada ya "mwenye nyumba" kuondoka? Anyway tuendelee kumuombea.!!
Hivi watu bado hawajaacha kuchakachua, huyu Mzee sio kabisa, wabadilike tu!!!!Ni vibovu na gharama yake kubwa aidha havikufuata taratibu za ununuzi ndo maana kila mtu anavikwepa