Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

Sasa ilikuwaje TPA wakakubali kushushwa kwa kitu ambacho mmiliki hajatajwa kwenye bill of landing
Swali gumu ambalo wakikujibu itabidi ufanye shangwe!
halafu ati virejeshwe vilikotoka!!! kwa gharama za nani?
Wataendelea kupiga dili mpaka basi!
 
Mwenyewe atafahamika tu! Labda sio kwa Magu.
 
Wahujumu Uchumi na majizi mnahaha kila kona. Eti "Tambo" ....
 
Swali gumu ambalo wakikujibu itabidi ufanye shangwe!
halafu ati virejeshwe vilikotoka!!! kwa gharama za nani?
Wataendelea kupiga dili mpaka basi!
TPA wanafahamu ni vya TRL ndio maana wamevishusha, kwani huko vilipotengezwa hapafahamiki au?
 
Huko tunakokwenda watu watawakana hadi wake zao!!

JPM: We Kassim, huyu Mary ni nani wako?
Kassim: Mheshimiwa Rais, mi simfahamu huyo!
JPM: Sio mke wako huyu?
Kassim: Hapana Mheshimiwa... Kassim na Mary wapi na wapi!!
 
Halafu kuna majitu humu JF yanamkejeli Mh. Rais alipouliza kuhusu hivyo vichwa vya treni!!??? Mmepoteza matumaini kupita misukule. Inasikitisha sana.
 
Watu wamekiwa waoga kuchukua maamuzi wanaogopa kutumbuliwa.

Kwanini wasiseme tu tuna mgogoro na mtengezaji na hatuwezi vipokea kuliko kuruka kimanga.
 
TPA wanafahamu ni vya TRL ndio maana wamevishusha, kwani huko vilipotengezwa hapafahamiki au?

Mkuu vichwa ni vya TRL; tena nasikia walishalipa cash.

Hata wakivikataa, supplier hana hasara.
 
Malaika kawajaza woga hata wanashindwa kufanya kazi zao barabara na hivyo kuanza kutupiana mpira kwa kuhofia kutumbuliwa. Kumbuka ya Nape na Lawrence Mafuru aliyekuwa msajili wa hazina. Hawa hawakuwa na kosa lolote lile bali kufanya kazi zao vile ipasavyo lakini bado wakaishiwa kufutwa kazi.

Nashangaa kuona vyombo vya serikali vikitupiana mipira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…