Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

Mi siamini kabisa kuwa Mzigo unafika na documents(bill of landing) hazitaji mmiliki, hii si kweli. Naona ni njia mpya ya boss kutokukubaliana na Mzigo wenyewe
 
Viingozi mbalimbali hawana maamuzi awamu hii..Maamuzi yote ni kutoka magogoni
 
Reactions: BAK
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa Tanzania yetu hii wenye uwezo wa kuleta vichwa vya treni ni TRL na TAZARA basi. Kwenye ushushaji wa mzigo bandarini kuna docs za mzigo binafsi kuonyesha umetoka wapi na unakokwenda. Kwa style yetu ya maamuzi kama ni kweli ingekuwa havijulikani vilikotoka jana hiyo hiyo kuna watu wangetumbuliwa kwa uzembe lkn wapi kimyaaa...... . [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya bwana, tutafika tu hata kwa kutambaa.
 
Vichwa vya treni wanipe mimi basi

OvA
 
Hivi wewe kwa akili yako tu ya kawaida,achilia mbali ya darasani ambayo sijui kama unayo au la!, unakubaliana na hoja kwamba vichwa vya treni vinawaeza kusafirishwa hadi bandarini na vikashushwa bila kuwa na mwenyewe,mbona basi bidhaa nyingine kama magari,ndege,meli n.k visiwe vinakuja vyenyewe vinajishusha hapo bandarini halafu watu wanaenda kujiokotea!! grow up nigga!
 
Mbona rahisi sana hii
MTU AWAITE WATENGENEZAJI,WASAFIRISHAJI WAJE WATUAMBIE VIMETOKA WAPI NA VINAKWENDA KWA NANI
 
Kiki hizi zitampeleka puta JPM
 
Sasa hivyo vichwa si wapewe baadhi ya ambao vichwa vyao vinaonekana vilishachoka?
 

Mkuu, maswali mazuri, ila unacheza na mifisadi. Kwani nikibandika jina lako kwenye gari langu ndio limekuwa lako?

Hao hawakuwa akina Omar Issa na wenzake wa sijui BRN kweli? Walijitengenezea ulimwengu sambamba na tunaoujua sisi.
 
Hivi hawa viongozi watofautiana nini ilhali ni team moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…