Sasa yeye Lisu aliongea kuwa ataishitaki tigo tena mahakama ya kimataifa akiitishia kachafua jina la Tigo .Inayopelekwa ni millicom acha ubishi. Najua umeelewa just unaleta league. Mtu akisema tigo haimaanishi Lissu ataisue tigo bali ataisue millicom.
Tigo wamburuze mahakamani kwa kuwaharibia biashara