Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

Kuna sababu Kwa Nini iliitwa Tigo! Unaitaje kampuni tigo?
 
When you change ownership you take from the company 2 things (obligation)
1.assets
2.liability
Infact if you deal with the company change of name or owner is has no legal effects to past contracts .yaan kama ulikwepa kodi kampuni yako wakirithi wanao tra wanakufa nao.ila ikiwa ina jina lako ukifa tra wala wadeni hawasogei inaitwa sole propriatorship.
Kampuni kisheria ni mtu (legal person) asie husiana lolote na nani anamiliki ,ndo maana tunatumia blueband lakini hatuna time ya kujali nani anaimiliki.leo imebadili wamiliki zaidi ya 10 ila ukigundua mwaka 1980 blueband walitoa blueband ikamuua baba yako.wanakulipa fidia leo ,kwa kiingeleza inaitwa on going concern

Kesi ya lisu haita maliza mwaka kwa maana wakisha humu ile ya kuzagaza taaarifa lisu hajisumbui anafungua akitolea ushahidi wa hukumu hiyo judge huamua chap
Unachanganya mambo, sheria na kanuni za kusajili (legal obligation) na accounting procedures.

Legal za obligation za kampuni (wamiliki) zinatofautiana kutokana na ilivyo sajiliwa katika nchi husika.

Kuna aina nne unaweza sajili kampuni na liability za wamiliki.

Sole proprietor (au sole trader) maana yake ni mali ya mtu mmoja akiachana na hiyo kampuni auhusiki na matendo ya baadae na mmiliki mpya ausiki na matendo yake ya nyuma.

Partnership ni kama (sole trader) isipokuwa wahusika wanakuwa kadhaa wana share responsibility.

Private Limited Company (LTD) hawa wana limited liability (basically awawezi uza shares sokoni au kutangaza) lakini kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na management ndio responsible iwapo hakuna majority shareholder mwenye control (over 51% of shares) au katiba inasemaje kwenye uendeshwaji wa kampuni. Ukiuza kampuni shareholders wanabaki na katiba most likely itakuwa ile ile labda majority share holder auze kwa mwingine ambae anakuwa na control.

Public Limited Company (PLC) ni sawa LTD isipokuwa shares holders wanaweza kuwa wengi na shares za kampuni zipo sokoni kuingia na kutoka kwenye umiliki kanuni zake ni hizo hizo, management wanaongozwa na katiba.

Kampuni zote hizo zinaongozwa na sheria za nchi zilizo sajiliwa. Sio nyingine.

Huyo mzungu kaajiriwa na Millicom U.K LTD ambayi imesajiliwa (U.K.) not regulated by Tanzania laws. Ndio maana kesi ipo U.K. Japo Millicom wanamiliii TiGo not sure ilikuwa kwa share ngapi kama zilikuwa 100% or less up until 51% nontheless wana control ya operation ya kampuni (management wise, not above Tanzania laws of business practice).

Sasa kwakuwa Milllicom wana uwezo wa ku-control management decision na operation practices (wakamleta huyo, mzungu kuangalia umbea kwa faida yao, ambao sasa unawatokea puanj, yeye aliajiriwa kuchunguza sio ku-expose kama alivyotaka).

Kwa utaratibu huo kama una kesi ya operation issues na TiGO na wakati Milllicom Ina miliki kampuni management ya wakati huo ndio inahusika (especially, kama umiliki wao ulikuwa 100% au kama walikuwa na final say).

Moreover hiyo case ni ya unfair dismissal ambapo huyo mzungu alikuwa na mkataba wa kazi ambao una masharti yake, aimaanishi atashinda kesi. Alichoshinda mpaka sasa ni kutaka kesi iwe public na ataje majina ya wanasiasa husika waliokuwa tracked, nchi husika na majina ya managers walioruhusu (aina maana kilichofanyika ni kinyume kwa sheria au utaratibu wetu wa nchi za hovyo).

Ukirudi Tanzania TiGO operates under Tanzania laws, na kwa sheria zetu za national security wahusika wakitaka info za fulani au usaidie kazi yao kutii sio ombi ni lazima na uruhusiwi kutaja majina ya wahusika. Ndio kitu ambacho Millicom walikuwa wanapambana huyo mzungu asitaje majina na sehemu, mahakama yao ikasema sheria za Tanzania hazina jurisdiction kwao kwa husika.

Going Concern ni accounting term on the business side ambayo inahusu madeni ya supplier, welfare ya wafanyakazi na taxes; it has nothing to do na maswala ya kushitakiwa kwa mambo mengine ya management.
 
Kama nyie ndo wanasheria wa serekali mtakaotumwa kuiwakilisha serekali hapa hamna kitu,.

habari hata kama imendikwa kwa kingereza kama ni utumbo ni utumbo tu
Unatakiwa uonyeshe utumbo kwenye hoja ili kuwe na mjadala. Hili ni jukwaa la hoja kwa hoja kiongozi sio la vituko na kejeli za jumla jumla.
 
..anachotaka Lissu ni majina na vyeo vya watu wa serikali ambao Millicom / Tigo ilishirikiana nao kumfuatilia.

..hatua itakayofuatia ni kuangalia mahusiano ya waliokuwa wakimfuatilia na jaribio la mauaji dhidi ya Lissu.
 
..anachotaka Lissu ni majina na vyeo vya watu wa serikali ambao Millicom / Tigo ilishirikiana nao kumfuatilia.

..hatua itakayofuatia ni kuangalia mahusiano ya waliokuwa wakimfuatilia na jaribio la mauaji dhidi ya Lissu.
Millicom aikuwa ikimfuatilia Lissu wao wenyewe wamepata hizo habari kupitia huyo Clifford ambae walimuajiri kutafuta umbea na kuwapelekea. Sema yeye akataka ku-expose ndio wakamwambia it’s not in their interest as a business na mkataba ulikuwa unataka atunze mambo atakayobaini. Yeye akutaka kuelewa tena restrictions za mkataba wake akataka alichobaini kiwe wazi (bila ya kujali sheria za Tanzania, ambazo zinaruhusu national security agency kupata access of information). Ndio msingi wa kesi yake ya rufaa on unfair dismissal iwe public hearing na aongee yote aliyobaini hadharani. Mambo ambayo kwa kiasi kikubwa yako wazi kwa sasa kwa kufuatilia tu background ya kesi.

Hayo mengine hata Lissu akijuwa yeye awezi peleka kesi nje ya nchi hakuna jurisdiction kwa upande wake na kwa mahakama za Tanzania labda serikali iamue kuwakana wahusika hata wakitajwa kazi yao aikuwa in the interest of national security isipokuwa matumizi mabaya ya nafasi zao kwa maslahi binafsi, even that doesn’t prove government involvement in his shooting.

Kesi ikienda mahakamani kwa upande wa wahusika walioomba info za Lissu serikali kwa upande wake ikisema, hizo ni classified information which they can’t acknowledge, sheria ipo upande wao).

TiGO wao awakushuriki voluntary isipokuwa walipewa demand na government agency ambayo ina mamlaka hayo kisheria ndio maana waka comply.

Lissu na wanao mlipa wanataka ku-undermine serikali.
 
This is why Tanzania is easy pickings for investors looking to fleece the nation, with cheap breach of contract claims. You can’t blame Amsterdam for keep trying his luck.

Long article which lacks any legal arguments other than nonsense from the authors head. .

Separate ‘Clifford’ claims against Millicom and TiGO’s responsibility to their clients; those are two different things.

Clifford was employment by Millicom and not TiGo Tanzania. He is suing his employer (Millicom) for breach of employment (his claims are unfair dismissal). Because the company which employed him is located in UK that’s why the case was referred to employment tribunal in U.K.

U.K. have their own laws (tests) to decide on the matter. Usually ‘employment tribunal’ entails private hearing its (ADR) not litigation. Clifford doesn’t want that he wants to expose his findings to the world (more for political purposes, rather than remedy sought after to justify his unfair dismissal). This is why the case was referred to the court of appeal and now turning into litigation, but all this has nothing to do with TiGo Tanzania

When it comes to TiGo Tanzania they operate under Tanzania laws (all of which apply to them they have to abide to) that includes various national security acts which allows certain governments agents to access information from any sources in the name of national security investigations.

That being the case as TiGo service user automatically your contract is part of implied terms includes national security laws (authorities can ask for it, if you are being investigating) and your phone provider has to comply by law.

To cut the long story short I don’t see Clifford winning his claims (not certain, because I haven’t seen is employment contract).

Nonetheless it is mentioned in the case he had non-disclosure clause on his contract. Whatever he discovers during his investigations should remain private. That information was only for internal usage. He wanted to cross that line (to expose his findings) leading to his termination of contract. The rest is just him just him being malicious as the nature of British people when they can’t get their.

Where’s Lissu has no case against Millicom nor TiGo Tanzania given the domestic laws which govern telecommunication companies in Tanzania (admittedly it seems, national security laws at times are being abused by authorities).

No country allows traitors to operate with impunity whilst on their sabotage mission to sabotage national security matters.
Mkuu you are very wrong to insunuate and condemn Tundu Lisu to be a traitor.

There is no case in any court of law anywhere on earth that has proved Tundu Lisu to be a traitor!! If any provide a link here.

Your last paragraph negate everything you said above!!

Mkuu you seem to Harbour and at the same time find it very difficult to hide your hatred against Tundu Lisu!!
 
Mkuu you are very wrong to insunuate and condemn Tundu Lisu to be a traitor.

There is no case in any court of law anywhere on earth that has proved Tundu Lisu to be a traitor!! If any provide a link here.

Your last paragraph negate everything you said above!!

Mkuu you seem to Harbour and at the same to find it very difficult to hide your rotten hatred against Tundu Lisu!!
It’s about pattern of events on the matter leading to my conclusion to why I think he is an agent provocateur, working for the west.

But then I knowledge your position my accusation lack concrete evidence as not to accuse people of such serious offences.

May be I need to learn more on how to present my arguments without being too conclusive whilst not having concrete evidence.

Nonetheless I have no iota of hatred towards Lissu, I am just trying to evaluate things as the story evolves.
 
Millicom aikuwa ikimfuatilia Lissu wao wenyewe wamepata hizo habari kupitia huyo Clifford ambae walimuajiri kutafuta umbea na kuwapelekea. Sema yeye akataka ku-expose ndio wakamwambia it’s not in their interest as a business na mkataba ulikuwa unataka atunze mambo atakayobaini. Yeye akutaka kuelewa tena restrictions za mkataba wake akataka alichobaini kiwe wazi (bila ya kujali sheria za Tanzania, ambazo zinaruhusu national security agency kupata access of infornatuon). Ndio msingi wa kesi yake ya unfair dismissal iwe public case na aongee yote aliyobaini, ambayo kwa kiasi kikubwa yako wazi kwa sasa.

Hayo mengine hata Lissu akijuwa yeye awezi peleka kesi nje ya nchi hakuna jurisdiction kwa upande wake na kwa mahakama za Tanzania labda serikali iamue kuwakana wahusika hata wakitajwa kazi yao aikuwa in the interest of national security isipokuwa matumizi mabaya ya nafasi nazo kwa maslahi binafsi (vinginevyo wakienda mahakamani na kusema, hizo ni classified information which they can’t acknowledge, sheria ipo upande wao).

TiGO wao awakushuriki voluntary isipokuwa walipewa demand na government agency ambayo ina mamlaka hayo kisheria ndio maana waka comply.

..Clifford atatakiwa kuweka wazi alichobaini.

..Na huenda anawajua kwa majina na vyeo waliohusika kumfanyia surveillance Tundu Lissu.

..Non disclosure agreement huwa inatupiliwa mbali ikiwa kuna jinai imefanyika.

..Clifford anadai surveillance ya Lissu ilifanyika bila kufuata utaratibu wa sheria. Hapo sijui alimaanisha sheria za Tanzania, au za Uingereza, au zote.

..Kwa maoni yangu, Lissu anaweza kuwashtaki nje ya nchi wanaoshtakika nje ya nchi.

..Lissu pia anaweza kuwashtaki hapa nyumbani, wanaoshtakika ndani ya nchi.

..Jambo la msingi ni kuwajua waliomfanyia surveillance kwa majina na vyeo. Pia kuona kama surveillance hiyo ilikuwa kwa minajili ya kuwezesha jaribio la mauaji dhidi yake.

NB:

..serikali ikiwakana waliomfanyia surveillance Tundu Lissu, basi italazimika pia kuwashtaki.
 
Tigo sasa ni HONORA na Millicom sasa ni Axian....Ngoma bado mbichi....Jinai haifi hata ukibadilisha jina maana uhalifu umeshafanyika...wao MIC na AXIAN watajua wanamalizana vipi na Lissu.
 
It’s about pattern of events on the matter leading to my conclusion to why I think he is an agent provocateur, working for the west.

But then I knowledge your position my accusation lack concrete evidence as not to accuse people of such serious offences.

May be I need to learn more on how to present my arguments without being too conclusive whilst not having concrete evidence.

Nonetheless I have no iota of hatred towards Lissu, I am just trying to evaluate things as the story evolves.
🙏
 
The sale of Tigo Tanzania to the pan-African group Axian was first announced in April of last year. Recently, Millicom disclosed that it will receive net cash of around $100 million from this transaction. Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
Kwenye hayo mauzo wamkumbuke Lissu
 
..Clifford atatakiwa kuweka wazi alichobaini.

..Na huenda anawajua kwa majina na vyeo waliohusika kumfanyia surveillance Tundu Lissu.

..Non disclosure agreement huwa inatupiliwa mbali ikiwa kuna jinai imefanyika.

..Clifford anadai surveillance ya Lissu ilifanyika bila kufuata utaratibu wa sheria. Hapo sijui alimaanisha sheria za Tanzania, au za Uingereza, au zote.

..Kwa maoni yangu, Lissu anaweza kuwashtaki nje ya nchi wanaoshtakika nje ya nchi.

..Lissu pia anaweza kuwashtaki hapa nyumbani, wanaoshtakika ndani ya nchi.

..Jambo la msingi ni kuwajua waliomfanyia surveillance kwa majina na vyeo. Pia kuona kama surveillance hiyo ilikuwa kwa minajili ya kuwezesha jaribio la mauaji dhidi yake.

NB:

..serikali ikiwakana waliomfanyia surveillance Tundu Lissu, basi italazimika pia kuwashtaki.
Dispute ya Clifford katika hali ya kawaida ni swala la baraza la usuluhishi (employment tribunal) sio mahakama. Tribunal uwa ni private matter (Alternative Dispute Resolution) ambayo hearing ni private and not much evidence is required or exposed to the public.

Yeye hataki hayo anataka iwe public hearing (more of a litigation) where everything is exposed to the public. Mpaka hapo unaona lengo sio kupata remedy tu ya kuachishwa kazi unfairly isipokuwa kusema ambayo hata yale kwenye mkataba wake yanamkataza.

Ni sawa na kupewa kazi usalama wa taifa (halafu utake ku-expose yale ambayo umepewa privilege of access kuyaona) mkataba ulitaka atakayobaini info apeleke kwa oweners labda wao ndio waamue how to introduce new policies.

Clifford akutaka kuelewa somo, Millicom being a private organisation (had a different reasoning to protect their business interests) and he had a different agenda from that of the organisation which hired him leading to the organisation partying company with him.

Sasa wafanyabiashara do consider their PEST analysis (P) being the political environment which they have to accommodate given the environment, yeye Clifford hakutaka kujali consequences za biashara ya wenzake bali wachukue tu hizo risks.

Kwa kuwaelewa waingereza ni kwa sababu Millicom aijasajiliwa kwao, they don’t pay taxes there so he couldn’t care less their loss of business isipokuwa kutumiza azma yao ya probably national security yao.

Halikadhalika TiGo Tanzania au kampuni yoyote ya simu aiwezi toa taarifa za mteja wake bila ya kushinikizwa na serikali even he Clifford aknowledge ni government agency ndio iliyotoa hiyo amri sio mtu.

Story ni ndefu na mimi muda wangu wa kuzima umefika Lissu anaweza fungua kesi nyumbani akipata majina Lakini sio kuwashitaki TiGo labda hiyo agency ya serikali (kwa sababu TiGo walikuwa wana-comply tu kwa government demands). Nje ya nchi hana jurisdiction ya kufungua kesi.

Good morning, kwangu muda wa kusinzia. Tutaendelea nikiamka

👋
 
Wachangiaji hebu tumieni Kiswahili please

Maana wengine mnavunja balaa!
 
Uwii watu wanajadili bila hata kuisoma kesi! Hakuna Mahali Milcom wanabisha kuvujisha tracking ya TL. Wao walichokuwa wanabisha ni kuwa "hiyo haikuwa sababu ya sisi kukufukuza, tulikufukuza kwa redundancy" hapo ndio pa kuanzia
 
HII KESI NGUMU SANA NA ITACHUKUA MUDA MREFU SANA KUPATA SULUHISHO
Hii kesi ni ngumu kwa mazingira ya Kisutu. Siyo kwa wenzetu. Hapa Tigo lazima atalipa mamilion tuu. It is fact. Not opinion.
 
Hukwenda kusoma kujifunza Uongo
Mfano kampuni za serikali zilizobinafsiswa wawekezaji walipokuja walinunua Asset tu madeni wakalataa

Unaponunua kampuni sio lazima ununue na madeni

Kujua waliuziana kwa makubaliano yepi ya kuchukua mali na madeni au mali tu lazima uone mikataba yao ya mauziano huwezi ku assume kama mwehu tu kwa vi classroom theories

Mwongo mkubwa wewe
Hahahah yaan swala la kununua na madeni sio swala la serikali ,ndo company act ,mauzo bila kubeba madeni sheria haitambui,ishu ya ubinafsishaji ni exceptional iliundiwa sheria na madeni hayakufutwa kwenye kukamilisha sheria kama ukikumbuka nbc ilikukosea kabla ya uwekezaji huo iliandikwa unaidai serikali

Lisu anaidai tigo na italipa mark comment kama kubet ngeweka nyumba
 
Back
Top Bottom