Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mkuu sema hivi Lissu alimzidi Magufuli akili ya siasa,akaona amuueKuna siasa na kuna matters of national interests.
Ukienda Ukraine ukafanya survey yako sio kila mtu huko ana support vita (walikuweko Russia supporters kabla hata vita).
Lakini Ukraine ndio ishaingia vitani, sasa kipindi hiki public opinion matters kwa upande wa serikali to justify the fighting (or defence of their territory) and why young people have to volunteer for their mother land.
Sasa either ulikuwa pro-Russia au la kabla ya vita, mradi nchi ipo vitani huu sio muda wa kutoa opinion ambazo zinavunja morale ya wapiganaji na nchi dhidi ya adui.
Siasa zina mipaka nchi inapo deal na mambo ya kitaifa. Lissu yeye kipindi wenzake wana deal na maswala ya kitaifa yupo busy kupotosha na kukebehi na alionywa mara kadhaa aache akutaka kuelewa somo. Mtu kama huyo ukimuacha kwa muda mrefu anakuwa ni tatizo katika kuaribu public opinion, something which matters kwa serikali kwanini wanavunja hiyo mikataba.
Why do you think nchi zote za west zimefungia ‘Russia Today’ news channel baada ya invasion of Ukraine. Ni kwa sababu awataki wananchi wao wasikilize perspective ya Russia, wakati wao wanawalisha propaganda zao kwanini wana support Ukraine.
Tanzania hatuko vitani,vita na nani?
Vita ilitangazwa rasmi lini?
Na vita inatoa uhalali wa mwasiasa serikalini kuua wananchi wake yeye mwenyewe kwa kuamua toka ubongoni mwake mwenyewe?
Ukraine na Russia zipo vitani,kinetic war,na ilitangazwa rasmi na wapo vitani mpaka leo
Lissu kawashindeni siasa na hoja zake,mkaona solution ni KUMUUUA!
Big mistake!