Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

Unachanganya mambo, sheria na kanuni za kusajili (legal obligation) na accounting procedures.

Legal za obligation za kampuni (wamiliki) zinatofautiana kutokana na ilivyo sajiliwa katika nchi husika.

Kuna aina nne unaweza sajili kampuni na liability za wamiliki.

Sole proprietor (au sole trader) maana yake ni mali ya mtu mmoja akiachana na hiyo kampuni auhusiki na matendo ya baadae na mmiliki mpya ausiki na matendo yake ya nyuma.

Partnership ni kama (sole trader) isipokuwa wahusika wanakuwa kadhaa wana share responsibility.

Private Limited Company (LTD) hawa wana limited liability (basically awawezi uza shares sokoni au kutangaza) lakini kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na management ndio responsible iwapo hakuna majority shareholder mwenye control (over 51% of shares) au katiba inasemaje kwenye uendeshwaji wa kampuni. Ukiuza kampuni shareholders wanabaki na katiba most likely itakuwa ile ile labda majority share holder auze kwa mwingine ambae anakuwa na control.

Public Limited Company (PLC) ni sawa LTD isipokuwa shares holders wanaweza kuwa wengi na shares za kampuni zipo sokoni kuingia na kutoka kwenye umiliki kanuni zake ni hizo hizo, management wanaongozwa na katiba.

Kampuni zote hizo zinaongozwa na sheria za nchi zilizo sajiliwa. Sio nyingine.

Huyo mzungu kaajiriwa na Millicom U.K LTD ambayi imesajiliwa (U.K.) not regulated by Tanzania laws. Ndio maana kesi ipo U.K. Japo Millicom wanamiliii TiGo not sure ilikuwa kwa share ngapi kama zilikuwa 100% or less up until 51% nontheless wana control ya operation ya kampuni (management wise, not above Tanzania laws of business practice).

Sasa kwakuwa Milllicom wana uwezo wa ku-control management decision na operation practices (wakamleta huyo, mzungu kuangalia umbea kwa faida yao, ambao sasa unawatokea puanj, yeye aliajiriwa kuchunguza sio ku-expose kama alivyotaka).

Kwa utaratibu huo kama una kesi ya operation issues na TiGO na wakati Milllicom Ina miliki kampuni management ya wakati huo ndio inahusika (especially, kama umiliki wao ulikuwa 100% au kama walikuwa na final say).

Moreover hiyo case ni ya unfair dismissal ambapo huyo mzungu alikuwa na mkataba wa kazi ambao una masharti yake, aimaanishi atashinda kesi. Alichoshinda mpaka sasa ni kutaka kesi iwe public na ataje majina ya wanasiasa husika waliokuwa tracked, nchi husika na majina ya managers walioruhusu (aina maana kilichofanyika ni kinyume kwa sheria au utaratibu wetu wa nchi za hovyo).

Ukirudi Tanzania TiGO operates under Tanzania laws, na kwa sheria zetu za national security wahusika wakitaka info za fulani au usaidie kazi yao kutii sio ombi ni lazima na uruhusiwi kutaja majina ya wahusika. Ndio kitu ambacho Millicom walikuwa wanapambana huyo mzungu asitaje majina na sehemu, mahakama yao ikasema sheria za Tanzania hazina jurisdiction kwao kwa husika.

Going Concern ni accounting term on the business side ambayo inahusu madeni ya supplier, welfare ya wafanyakazi na taxes; it has nothing to do na maswala ya kushitakiwa kwa mambo mengine ya management.
Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
 
Millicom International Cellular has finalized the sale of its Tanzanian division, completing its multi-year divestment strategy from Africa to focus exclusively on Latin American markets.

The sale of Tigo Tanzania to the pan-African group Axian was first announced in April of last year. Recently, Millicom disclosed that it will receive net cash of around $100 million from this transaction. Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.

Millicom's CEO, Mauricio Ramos, stated, “With today’s announcement that we have completed the divestiture of our African businesses, we close a chapter in our history and open another solely focused on the Latin American region.”

In addition to the sale of Tigo Tanzania, Millicom had previously sold its shares in a joint venture in Ghana with Bharti Airtel to the government, which now has full control over Airtel Tigo. The company also had operations in other African countries, including Chad, the Democratic Republic of Congo, Mauritius, Rwanda, and Senegal.

As part of its strategy, Millicom is significantly increasing its investments in Latin America. This includes expanding its fixed broadband network to over 20 million homes. Moreover, the company plans to spin off its fintech division, Tigo Money, and its tower portfolio into separate entities.

Millicom has identified financial technologies as a critical growth area, with an estimated market opportunity of $14 billion in Latin America.

In Guatemala, Millicom took full control of a joint venture from a local partner for $2.2 billion, further solidifying its commitment to the Latin American market.

Context of Tundu Lissu

Tundu Lissu is a well-known Tanzanian politician and lawyer who has been an outspoken critic of the government. In September 2017, he survived an assassination attempt, which he attributed to his political activities and criticisms of government corruption and human rights abuses.

There have been discussions in public discourse regarding whether telecommunications companies, including Millicom, could inadvertently support government actions that lead to violations of human rights, including surveillance of activists like Lissu.

The environment in which these companies operate can affect the safety of political dissenters, raising ethical concerns about corporate responsibility.

Questions of Accountability

With Millicom having divested its operations in Tanzania, questions arise regarding accountability and the implications of their past actions.

If it is suggested that Millicom provided information to the government that may have led to Lissu's assassination attempt, the conversation shifts to who is ultimately responsible for such actions.

1. Corporate Responsibility:
Should companies be held accountable for how their operations and data usage may impact political activists? If Millicom was involved in any capacity in sharing sensitive information, that raises significant ethical questions about corporate governance and accountability.

2. Government Accountability:
The primary responsibility for the safety of citizens, including political opponents, lies with the government. If the government is using telecommunications data to target dissenters, it must bear the greatest responsibility for such actions.

3. Impact of Divestment:
Now that Millicom has exited the Tanzanian market, it may reduce its liability for any past actions. However, the legacy of its operations can still affect how political activists operate in the country. The changes in corporate presence can also lead to shifts in how government interacts with remaining telecommunications providers.

4. Activism and Safety:
The environment for activists in Tanzania continues to be precarious. If Millicom provided any information that compromised Lissu’s safety, it reflects a broader issue of how telecommunications can be weaponized in political contexts.

* Conclusion*

As Millicom moves forward with its focus on Latin America, the implications of its past actions in Tanzania, particularly concerning Tundu Lissu, remain a topic of heated debate.

The questions of accountability—whether it lies with Millicom, the Tanzanian government, or both—continue to provoke discussions about corporate ethics and the responsibilities of businesses operating in politically sensitive environments.

The situation illustrates the complexities surrounding telecommunications, politics, and human rights, emphasizing the need for companies to navigate these issues carefully as they operate across different regions.
Ukiangalia hapa anaeweza kushitakiwa ni Serikali na Milcom na sio Tigo
 
Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
New buyer should change trade name!
Sio kwamba itamchafua zaidi, kwamba anakimbia msala? Nadhani kuna taarifa za aina hii hakuwa nazo au alipuuzia.

Ila kuepuka kuchafuka zaidi kama madudu mengine yakiibuka, hana budi kubadili jina.
 
Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
Hapo Tigo haimo na haihusiki na madai ya awaye yeyote anayedai chochote kwa Milicon akiwemo huyo aliyeshtaki uingereza
 
Ukinunua kampuni unabeba na liabilities zake.

Kwasababu Milicom bado wapo hiyo italeta unafuu kidogo kwa Tigo.

Ila lazima Tigo watów ushirikiano kwa kutia data zote zinazitakiwa.
Tofautisha kununua kampuni na kununua Balance sheet yenye assets na liabilities

Mtu aweza uza kampuni ili alipe liabilities zake anazodaiwa .Hivyo mara baada ya mauzo pesa zilizopatikana huenda kulipis liabilities na mnunuzi mpya anaanza biashara fresh bila hayo ma liabilities

Ni kama Muuzaji anasema nipe pesa nikalipe madeni wewe uchukue kampuni

Hivyo sio kweli kuwa unaponunua kampuni. Lazima ununue na liabilities

Pili Milicon ilishauzabiashara zske zote Africa na kufunga ofisi zake bara la Africa haipo tena na haina chochote inachomiliki Africa
 
This is why Tanzania is easy pickings for investors looking to fleece the nation, with cheap breach of contract claims. You can’t blame Amsterdam for keep trying his luck.

Long article which lacks any legal arguments other than nonsense from the authors head. .

Separate ‘Clifford’ claims against Millicom and TiGO’s responsibility to their clients; those are two different things.

Clifford was employment by Millicom and not TiGo Tanzania. He is suing his employer (Millicom) for breach of employment (his claims are unfair dismissal). Because the company which employed him is located in UK that’s why the case was referred to employment tribunal in U.K.

U.K. have their own laws (tests) to decide on the matter. Usually ‘employment tribunal’ entails private hearing its (ADR) not litigation. Clifford doesn’t want that he wants to expose his findings to the world (more for political purposes, rather than remedy sought after to justify his unfair dismissal). This is why the case was referred to the court of appeal and now turning into litigation, but all this has nothing to do with TiGo Tanzania

When it comes to TiGo Tanzania they operate under Tanzania laws (all of which apply to them they have to abide to) that includes various national security acts which allows certain governments agents to access information from any sources in the name of national security investigations.

That being the case as TiGo service user automatically your contract is part of implied terms includes national security laws (authorities can ask for it, if you are being investigating) and your phone provider has to comply by law.

To cut the long story short I don’t see Clifford winning his claims (not certain, because I haven’t seen is employment contract).

Nonetheless it is mentioned in the case he had non-disclosure clause on his contract. Whatever he discovers during his investigations should remain private. That information was only for internal usage. He wanted to cross that line (to expose his findings) leading to his termination of contract. The rest is just him just him being malicious as the nature of British people when they can’t get their.

Where’s Lissu has no case against Millicom nor TiGo Tanzania given the domestic laws which govern telecommunication companies in Tanzania (admittedly it seems, national security laws at times are being abused by authorities).

No country allows traitors to operate with impunity whilst on their sabotage mission to sabotage national security matters.
MwanaCCM wewe

Kwahiyo Lissu alikua ana sabotage "National Security Matters"?

Acha unafiki

Alie abuse preveleges zao hapa ni serikali.....

Lissu hajafanya kosa lolote,hasimu wake wa kisiasa katumia mwanya wa national security law to kill his political opponent

Sasa u have to prove Lissu alikua ni threat kwa national security mpaka ukata kumuua,pili wewe kua na madaraka unashindwa kudeal na wapinzani wako kisiasa mpaka uwaue ni kitu tusichokitaka kama nchi
 
This is why Tanzania is easy pickings for investors looking to fleece the nation, with cheap breach of contract claims. You can’t blame Amsterdam for keep trying his luck.

Long article which lacks any legal arguments other than nonsense from the authors head. .

Separate ‘Clifford’ claims against Millicom and TiGO’s responsibility to their clients; those are two different things.

Clifford was employment by Millicom and not TiGo Tanzania. He is suing his employer (Millicom) for breach of employment (his claims are unfair dismissal). Because the company which employed him is located in UK that’s why the case was referred to employment tribunal in U.K.

U.K. have their own laws (tests) to decide on the matter. Usually ‘employment tribunal’ entails private hearing its (ADR) not litigation. Clifford doesn’t want that he wants to expose his findings to the world (more for political purposes, rather than remedy sought after to justify his unfair dismissal). This is why the case was referred to the court of appeal and now turning into litigation, but all this has nothing to do with TiGo Tanzania

When it comes to TiGo Tanzania they operate under Tanzania laws (all of which apply to them they have to abide to) that includes various national security acts which allows certain governments agents to access information from any sources in the name of national security investigations.

That being the case as TiGo service user automatically your contract is part of implied terms includes national security laws (authorities can ask for it, if you are being investigating) and your phone provider has to comply by law.

To cut the long story short I don’t see Clifford winning his claims (not certain, because I haven’t seen is employment contract).

Nonetheless it is mentioned in the case he had non-disclosure clause on his contract. Whatever he discovers during his investigations should remain private. That information was only for internal usage. He wanted to cross that line (to expose his findings) leading to his termination of contract. The rest is just him just him being malicious as the nature of British people when they can’t get their.

Where’s Lissu has no case against Millicom nor TiGo Tanzania given the domestic laws which govern telecommunication companies in Tanzania (admittedly it seems, national security laws at times are being abused by authorities).

No country allows traitors to operate with impunity whilst on their sabotage mission to sabotage national security matters.
Ndugu ebu sahihisha, aya ya kwanza tu kuna 'madude' yamegoma kisintaksia. Sibezi utaalamu wako
 
Tofautisha kununua kampuni na kununua Balance sheet yenye assets na liabilities

Mtu aweza uza kampuni ili alipe liabilities zake anazodaiwa .Hivyo mara baada ya mauzo pesa zilizopatikana huenda kulipis liabilities na mnunuzi mpya anaanza biashara fresh bila hayo ma liabilities

Ni kama Muuzaji anasema nipe pesa nikalipe madeni wewe uchukue kampuni

Hivyo sio kweli kuwa unaponunua kampuni. Lazima ununue na liabilities

Pili Milicon ilishauzabiashara zske zote Africa na kufunga ofisi zake bara la Africa haipo tena na haina chochote inachomiliki Africa
Kampuni IPO

Anaebadilika ni "owner"

Kinachoshitakiwa ni kampuni kama entity na sio owner na hata owner akijumlishwa anajumlishwa kama "independent entity"

Una vituko mkuu

Yaani wewe unadhani owner akibadilika basi na kampuni imebadilika imekua kitu kingine?
 
Kama nyie ndo wanasheria wa serekali mtakaotumwa kuiwakilisha serekali hapa hamna kitu,.

habari hata kama imendikwa kwa kingereza kama ni utumbo ni utumbo tu
Mie nimekiangalia hicho ki Malkia...Daah siku hizi Kuna learning machines, mwandishi alihitajika afanye language edit
 
Millicom aikuwa ikimfuatilia Lissu wao wenyewe wamepata hizo habari kupitia huyo Clifford ambae walimuajiri kutafuta umbea na kuwapelekea. Sema yeye akataka ku-expose ndio wakamwambia it’s not in their interest as a business na mkataba ulikuwa unataka atunze mambo atakayobaini. Yeye akutaka kuelewa tena restrictions za mkataba wake akataka alichobaini kiwe wazi (bila ya kujali sheria za Tanzania, ambazo zinaruhusu national security agency kupata access of information). Ndio msingi wa kesi yake ya rufaa on unfair dismissal iwe public hearing na aongee yote aliyobaini hadharani. Mambo ambayo kwa kiasi kikubwa yako wazi kwa sasa kwa kufuatilia tu background ya kesi.

Hayo mengine hata Lissu akijuwa yeye awezi peleka kesi nje ya nchi hakuna jurisdiction kwa upande wake na kwa mahakama za Tanzania labda serikali iamue kuwakana wahusika hata wakitajwa kazi yao aikuwa in the interest of national security isipokuwa matumizi mabaya ya nafasi zao kwa maslahi binafsi, even that doesn’t prove government involvement in his shooting.

Kesi ikienda mahakamani kwa upande wa wahusika walioomba info za Lissu serikali kwa upande wake ikisema, hizo ni classified information which they can’t acknowledge, sheria ipo upande wao).

TiGO wao awakushuriki voluntary isipokuwa walipewa demand na government agency ambayo ina mamlaka hayo kisheria ndio maana waka comply.

Lissu na wanao mlipa wanataka ku-undermine serikali.
Huyu mpinzani wetu TAL huwa anajiharibia kwakukosa busara...Unasema unaipenda nchi Kisha maslahi yako Yana superceed Yale ya nchi, hii huwa anaichukuliaje?

Mimi huwa namwona a kind of self-seeking person...Na huwa anaona yeye anajua mambo Kuliko mtu yeyote hapa duniani
 
It’s about pattern of events on the matter leading to my conclusion to why I think he is an agent provocateur, working for the west.

But then I knowledge your position my accusation lack concrete evidence as not to accuse people of such serious offences.

May be I need to learn more on how to present my arguments without being too conclusive whilst not having concrete evidence.

Nonetheless I have no iota of hatred towards Lissu, I am just trying to evaluate things as the story evolves.
Hizi ni tuhuma

Na tuhuma hazitoi judgement mtu kuuawa

Nyie mmekaa ofisini mnajichukulia tu uamuzi wa kuua mtu sababu mna "hisia"

Acha kuzunguka,ni mwanasiasa kaamua kuua mwanasiasa mpinzani wake sababu anamzidi akili za siasa,haya mengine ni blah blah na unafiki unatuwekea hapa

Agent wa West,ushahidi uko wapi?

Agent wa West na nyie ni agents wa East?

Mmezidiwa siasa na Lissu mkaona solution ni kumuua,halafu mnatuletea stori za kitoto hapa
 
Huyu mpinzani wetu TAL huwa anajiharibia kwakukosa busara...Unasema unaipenda nchi Kisha maslahi yako Yana superceed Yale ya nchi, hii huwa anaichukuliaje?

Mimi huwa namwona a kind of self-seeking person...Na huwa anaona yeye anajua mambo Kuliko mtu yeyote hapa duniani
Yaani mna kichaa kuunganisha maslahi ya CCM na ya Nchi sehemu moja

Mtu usipoipenda CCM eti wewe huipendi "Nchi"

Mna kichaa nyie

Na maslahi ya nchi yanakuja baada ya maslahi ya mwananchi kwanza au maslahi yawe tofauti kila mtu apate yake

Huwezi meza maslahi yangu na kuipa serikali ya CCM,that will never happen

Lissu aliwashinda akili ya siasa na mkaona solution ni kumuua,wrong move!
 
Hizi ni tuhuma

Na tuhuma hazitoi judgement mtu kuuawa

Nyie mmekaa ofisini mnajichukulia tu uamuzi wa kuua mtu sababu mna "hisia"

Acha kuzunguka,ni mwanasiasa kaamua kuua mwanasiasa mpinzani wake sababu anamzidi akili za siasa,haya mengine ni blah blah na unafiki unatuwekea hapa

Agent wa West,ushahidi uko wapi?

Agent wa West na nyie ni agents wa East?

Mmezidiwa siasa na Lissu mkaona solution ni kumuua,halafu mnatuletea stori za kitoto hapa
Kuna siasa na kuna matters of national interests.

Ukienda Ukraine ukafanya survey yako sio kila mtu huko ana support vita (walikuweko Russia supporters kabla hata vita).

Lakini Ukraine ndio ishaingia vitani, sasa kipindi hiki public opinion matters kwa upande wa serikali to justify the fighting (or defence of their territory) and why young people have to volunteer for their mother land.

Sasa either ulikuwa pro-Russia au la kabla ya vita, mradi nchi ipo vitani huu sio muda wa kutoa opinion ambazo zinavunja morale ya wapiganaji na nchi dhidi ya adui.

Siasa zina mipaka nchi inapo deal na mambo ya kitaifa. Lissu yeye kipindi wenzake wana deal na maswala ya kitaifa yupo busy kupotosha na kukebehi na alionywa mara kadhaa aache akutaka kuelewa somo. Mtu kama huyo ukimuacha kwa muda mrefu anakuwa ni tatizo katika kuaribu public opinion, something which matters kwa serikali kwanini wanavunja hiyo mikataba.

Why do you think nchi zote za west zimefungia ‘Russia Today’ news channel baada ya invasion of Ukraine. Ni kwa sababu awataki wananchi wao wasikilize perspective ya Russia, wakati wao wanawalisha propaganda zao kwanini wana support Ukraine.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom