Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
 
Ukiangalia hapa anaeweza kushitakiwa ni Serikali na Milcom na sio Tigo
 
Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
New buyer should change trade name!
Sio kwamba itamchafua zaidi, kwamba anakimbia msala? Nadhani kuna taarifa za aina hii hakuwa nazo au alipuuzia.

Ila kuepuka kuchafuka zaidi kama madudu mengine yakiibuka, hana budi kubadili jina.
 
Axian will assume Millicom's debts and other obligations tied to the unit.
Hapo Tigo haimo na haihusiki na madai ya awaye yeyote anayedai chochote kwa Milicon akiwemo huyo aliyeshtaki uingereza
 
Mbona hakuna kesi hapo, labda aende akadai millicom huko Latin America.
Ukinunua kampuni unabeba na liabilities zake.

Kwasababu Milicom bado wapo hiyo italeta unafuu kidogo kwa Tigo.

Ila lazima Tigo watów ushirikiano kwa kutia data zote zinazitakiwa.
 
Ukinunua kampuni unabeba na liabilities zake.

Kwasababu Milicom bado wapo hiyo italeta unafuu kidogo kwa Tigo.

Ila lazima Tigo watów ushirikiano kwa kutia data zote zinazitakiwa.
Tofautisha kununua kampuni na kununua Balance sheet yenye assets na liabilities

Mtu aweza uza kampuni ili alipe liabilities zake anazodaiwa .Hivyo mara baada ya mauzo pesa zilizopatikana huenda kulipis liabilities na mnunuzi mpya anaanza biashara fresh bila hayo ma liabilities

Ni kama Muuzaji anasema nipe pesa nikalipe madeni wewe uchukue kampuni

Hivyo sio kweli kuwa unaponunua kampuni. Lazima ununue na liabilities

Pili Milicon ilishauzabiashara zske zote Africa na kufunga ofisi zake bara la Africa haipo tena na haina chochote inachomiliki Africa
 
MwanaCCM wewe

Kwahiyo Lissu alikua ana sabotage "National Security Matters"?

Acha unafiki

Alie abuse preveleges zao hapa ni serikali.....

Lissu hajafanya kosa lolote,hasimu wake wa kisiasa katumia mwanya wa national security law to kill his political opponent

Sasa u have to prove Lissu alikua ni threat kwa national security mpaka ukata kumuua,pili wewe kua na madaraka unashindwa kudeal na wapinzani wako kisiasa mpaka uwaue ni kitu tusichokitaka kama nchi
 
Ndugu ebu sahihisha, aya ya kwanza tu kuna 'madude' yamegoma kisintaksia. Sibezi utaalamu wako
 
Kampuni IPO

Anaebadilika ni "owner"

Kinachoshitakiwa ni kampuni kama entity na sio owner na hata owner akijumlishwa anajumlishwa kama "independent entity"

Una vituko mkuu

Yaani wewe unadhani owner akibadilika basi na kampuni imebadilika imekua kitu kingine?
 
Kama nyie ndo wanasheria wa serekali mtakaotumwa kuiwakilisha serekali hapa hamna kitu,.

habari hata kama imendikwa kwa kingereza kama ni utumbo ni utumbo tu
Mie nimekiangalia hicho ki Malkia...Daah siku hizi Kuna learning machines, mwandishi alihitajika afanye language edit
 
Huyu mpinzani wetu TAL huwa anajiharibia kwakukosa busara...Unasema unaipenda nchi Kisha maslahi yako Yana superceed Yale ya nchi, hii huwa anaichukuliaje?

Mimi huwa namwona a kind of self-seeking person...Na huwa anaona yeye anajua mambo Kuliko mtu yeyote hapa duniani
 
Hizi ni tuhuma

Na tuhuma hazitoi judgement mtu kuuawa

Nyie mmekaa ofisini mnajichukulia tu uamuzi wa kuua mtu sababu mna "hisia"

Acha kuzunguka,ni mwanasiasa kaamua kuua mwanasiasa mpinzani wake sababu anamzidi akili za siasa,haya mengine ni blah blah na unafiki unatuwekea hapa

Agent wa West,ushahidi uko wapi?

Agent wa West na nyie ni agents wa East?

Mmezidiwa siasa na Lissu mkaona solution ni kumuua,halafu mnatuletea stori za kitoto hapa
 
Yaani mna kichaa kuunganisha maslahi ya CCM na ya Nchi sehemu moja

Mtu usipoipenda CCM eti wewe huipendi "Nchi"

Mna kichaa nyie

Na maslahi ya nchi yanakuja baada ya maslahi ya mwananchi kwanza au maslahi yawe tofauti kila mtu apate yake

Huwezi meza maslahi yangu na kuipa serikali ya CCM,that will never happen

Lissu aliwashinda akili ya siasa na mkaona solution ni kumuua,wrong move!
 
Kuna siasa na kuna matters of national interests.

Ukienda Ukraine ukafanya survey yako sio kila mtu huko ana support vita (walikuweko Russia supporters kabla hata vita).

Lakini Ukraine ndio ishaingia vitani, sasa kipindi hiki public opinion matters kwa upande wa serikali to justify the fighting (or defence of their territory) and why young people have to volunteer for their mother land.

Sasa either ulikuwa pro-Russia au la kabla ya vita, mradi nchi ipo vitani huu sio muda wa kutoa opinion ambazo zinavunja morale ya wapiganaji na nchi dhidi ya adui.

Siasa zina mipaka nchi inapo deal na mambo ya kitaifa. Lissu yeye kipindi wenzake wana deal na maswala ya kitaifa yupo busy kupotosha na kukebehi na alionywa mara kadhaa aache akutaka kuelewa somo. Mtu kama huyo ukimuacha kwa muda mrefu anakuwa ni tatizo katika kuaribu public opinion, something which matters kwa serikali kwanini wanavunja hiyo mikataba.

Why do you think nchi zote za west zimefungia ‘Russia Today’ news channel baada ya invasion of Ukraine. Ni kwa sababu awataki wananchi wao wasikilize perspective ya Russia, wakati wao wanawalisha propaganda zao kwanini wana support Ukraine.
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…