Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

Kama unahitaji Urais umepata,tuone huko kulala majalalani vip,jalalani ulimuona vipi kama hamkuwa wote mnaokotaokota?
Watahangaika sana walitaka waendelee kutunyonya na madini yetu sasa wanaona wanakuwa masikini wanatafta lingine,ila yote yatapita salama mbele ya jembe letu MAGUFULI
 
Hapo ndio unabugi,Serikali itabakia palepale hakuna cha huruma wala furaha,Jembe litapeta tu hata walete kesi gani,walitaka waendelee kutunyonya na kubeba madini burebure,wao wafungue tu kesi
 
Watahangaika sana walitaka waendelee kutunyonya na madini yetu sasa wanaona wanakuwa masikini wanatafta lingine,ila yote yatapita salama mbele ya jembe letu MAGUFULI
Sasa kama huwezi kuchimba mwenyewe hayo madini,utabaki nayo hadi mwaka gani ili unufaike nayo?
Afrika ni shamba la bibi tuu ,tukipenda tusipende,akili zetu ni finyu mno kwenye mambo haya makubwa ya kiuchumi wa kidunia.
Wazungu wamesha tu over lap, Hata ukifanikiwa kuchiomba mwenyewe ,utamuuzia nani? wakati mnunuzi mkuu ndo huyo huyo beberu,utabaki na dhahabu zako stoor na mwisho utafilisika,
Kubali uliwe na wewe ule angalau siku zisogee.
 
Kuna mambo tunajitakia wenyewe. Hata kama mikataba yetu huko nyuma ilikuwa ya hovyo, bado ni serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio iliingia makubaliano na hawa watu. Ni ujinga wetu tu. Sasa tumepevuka hivyo tusizidi kufanya ujinga mwingine, ambao ni pamoja pia na kuvunja pasipo tahadhari mikataba iliyoongozwa na sheria zetu za kijinga.
 
Hapo ndio unabugi,Serikali itabakia palepale hakuna cha huruma wala furaha,Jembe litapeta tu hata walete kesi gani,walitaka waendelee kutunyonya na kubeba madini burebure,wao wafungue tu kesi
Of course, "kupeta kwa jembe" unakokusema kunafahamika kwa kuwatumia polisi na tume ya uchaguzi. Ni nani anahoji hilo kwa sasa?
Usijifanye kama umevumbua jambo lisilofahamika hapa.

Lakini usome vizuri tena huo mstari ulioandika wewe: "Jembe litapeta tu hata walete kesi gani walitaka waendelee kutunyonya na kubeba madini burebure wao wafungue tu kesi." Unaelewa kweli maana ya hiki ulichoandika hapa?

Mradi umejisikia tu 'kujivimbisha' unadhani dunia nayo itaogopa huko kujivimbisha kwako?
 
Tundu Lisu alionya wakaishia kumnunulia bunduki na lisasi zaidi viungo vyake, wakamiminia lisasi lakini mungu alimkingia kifua akasema uatishi ungalie majibu ya maneno yake lisu.
 
Hao wanaotaka kuitangaza Nchi yao vibaya wakiwa wakimbizi katika nchi za watu na ombaomba wataisoma namba,watafukuzwa hata uongozi wengine wamepewa huku ni wakimbizi
Hahaha yani wawakilishi wa makampuni ya nje, kule kwao ni omba omba, au wakimbizi au sijakuelewa?
 
Hakimu Mfawidhi,
JAMANI HIZI CASES NINYI MNAZIPATA WAPI? MIE NIMEZITAFUTA ATA KWENYE GOOGLE LAKINI NAZIKOSA NAKUJA KUZIPATA BAADA YA YALE MADUBWASHA YAMESHAKAMATWA KULE CANADA
Mkuu zinapatikana mitandaoni. Kwenye websites za hayo makampuni au kwenye mahakama. Mahakama za huko hua zina websites na huweka kumbukumbu ya kila shitaka linalopelekwa huko kimtandao hivyo rahisi kupatikana na kusomwa.
 
Tutapambana nawo wezi na waporaji wakubwa, hawana maana hata kidogo...
Kama mbwai iwe mbwai...
 
Sawa tu kwani Kesi Kitu Gani bwana. Tutapambana tu. Ni bora kesi kuliko madini yaliyokuwa yakiibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh, vikwazo kwa ajili ya nini. Kuinuka kiuchumi ni mapambano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…