Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

KISWELE NI SONGEA SIYO MBEYA,... alikuwa songea ligi na special sleeping coach. kabla ya Ruvuma tours line, Likungu, Tawaqal na hood, then Zainab na scand Chiku ...kilimanjaro...shabiby .. kabla ya Ufalme uliotukuka wa Mkinga Superfeo na selous
Wewe kama si wa Lizaboni, au Mateka basi wa Matalawe wewe...!!! ahahaha huwezi kutaja hivyo banaa...!!! Kwacha stendi ilikuwa kwa mama Sabena au sisi kwa sisi pale... Siku hizi soko la manzese
 
UDA nayo umeisahau Route za Tegeta to K/koo
 
Kuna route moja hamjaitaja ya Mwanza -Kigoma, nilipita miaka ya nyuma kidogo kuna machata kama:

SARATOGA
ADVENTURE
sijajua kama yako road bado ama la.
 
Kuna route moja hamjaitaja ya Mwanza -Kigoma, nilipita miaka ya nyuma kidogo kuna machata kama:

SARATOGA
ADVENTURE
sijajua kama yako road bado ama la.
Saratoga kama naiona ofisi yao pale Ilala Dar kwa ruti ya Dar Kigoma
 
Kuna route moja hamjaitaja ya Mwanza -Kigoma, nilipita miaka ya nyuma kidogo kuna machata kama:

SARATOGA
ADVENTURE
sijajua kama yako road bado ama la.
Bado yapo sana kwenye route ya Dar - Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…