Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Tanganyika bus (mza)
Shironela line (mza)
Mashiku bus service (Mza)
Africa bus service (Mza)

Kitambo mazee ni kati ya 89 - 96
 
Ni kweli hata mm nayaona Yard kule barabara ya GOBA! Niliona vituo vyake vya Mafuta km viwili Kibaha huko km unaenda Mlandizi sijui ndio anahama ktk Mabasi!
Hivi "Prince Muro" bado inapiga kazi ? Maana huwa nayaona yamewekwa huku maeneo ya GOBA.
 
KABANDORE.
LUSHANGA.
ZACHARIA.
BUNDA BUS.
TAWFIQ.
Najiuliza financial intelligence ya wabongo ikoje,hata haya mashule ya binafsi bila raisi kufanya uamuzi wa kufungua shule yangepotea kabisa,yangefungwa hata mwaka wangeuza mpaka madawati.
zakaria yupo ndo anakimbiza barabara ya mza-sirari, ndugu unaandika ukiwa wapi
 
zakaria yupo ndo anakimbiza barabara ya mza-sirari, ndugu unaandika ukiwa wapi
Huyo atakuwa dar maana zakaria walimfungia hiyo route. Jamaa alitoka dar saa 12 saa 12 akatoboa mwanza enzi hzo hakuna vya tochi, ninavyo sikia lakin. Maana ata route ya mwz- tarm jamaa uwa anasipid ya ovyo sana tena bora siku hiv
 
Buhongwa Igoma, Huyu jamaa alikuwa na hiace nyingi sana Mwanza, siku hizi sioni hata moja.
 
Kwacha- Iringa

Iringa Retco

Mbeya Retco n.k

Sijui kama vijana mmewahi kuyaona mabasi au malori yameandikwa RETCO...sisi wazee wenu tulifaidi sana hizo LEYLANDs
 
Mpaka wiki jana hawakuwepo.
Walisimama sababu ya corona.

Lakini makonda na wakata tikect wote wamehamia kampuni mpya inaitwa Nacharo.

Sasa was curious kama wameanza au bado au bado?
RATCO kahamisha biashara, kahamia DRC, hata mabus yote kapeleka kule.

Nacharo kachukua vijana wake,

Za chini ya carpet kuwa kaamua kuanza upya na NACHARO,

Hata mjini Nacharo anajazia mafuta kwenye petrol station iliyokuwa ya RATCO pale mkwakwani
 
Pia Kulikuwa na Likungu, SABCO, Ruvuma Tours, Special Sleeping Coach, Tawaqal, Mail Coach, Shabiby na Kiswele.
Kwa Mbinga Kulikuwa na Sadi Investment na Toto Coach
Yap ni Njombe

Kulikuwa na Widambe. Makete na Lupelo

Songea kulikuwa na Kiswele, Special Coach na Tawaqal
 
Back
Top Bottom