Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
KLM bus ilikua inaitwa SawayaHii kwa sasa ndo Kilimanjaro Bus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KLM bus ilikua inaitwa SawayaHii kwa sasa ndo Kilimanjaro Bus
Eee mama ndo msimamizi sababu hela nyingi za hiyo kampuni in za baba yake, Mme wake yeye ni kusimamia gereji na magari na hilo analiweza ila pesa ni mama. Lakini pia Allys ana ndugu zake watatu na mtoto wa kaka ake nao wana mabas kama Allys Sport, Allys chombo ya fundi, na Allys Express huyu wa igunga huku yeye akijiita Allys Star ndo hizi za orangeAlly's kamwaga chuma mpyaaa ! Mke wake ndo mhasibu mkuu, yule mama akishka tu kitabu cha tiket kabla ya kufunua anakwambia weka kias kadhaa mezani.
Ngurumo ya Nissan Diesel ilikua balaa tupuWakongwe wa Nissan Diesel...
Everyday is Saturday....................... 😎
Na Sawaya mwenyewe ndo mmiliki wa ShabahaKLM bus ilikua inaitwa Sawaya
Songea ni makao makuu ya mkoa wa Ruvuma. So mdau yuko sahihiKiswele sio Songea/Ruvuma mdau
Super sami yapo, kutoka mwanza kwenda mpanda
sema kabadilisha biashara, lugha ya kupotea ina ukakasi kidogo ndugu yangukeshapotea karudi kwenye kilimo, kuna kipindi aliyojiwa na Ayo TV akasema kapumzika kwanza
Mkuu upo vizuriShabaha ndio Kilimanjaro Bus
Ngorika ndio Kaprikoni
Bufallo ndio Happy Nation
Akamba imenunuliwa na Modern Coach
Mohamedi Trans ndio Scorpion bus
Tahmeed imekombine Yale matawfiq, taqwa nk nk
Mkuu umenikumbusha SAFINA aiseeSafina
Fikiri Sana
Railway
Katiba
Taqabal
Mkombozi
Elimu??? sidhani mkuu, wengi walikuwa wawekezaji wa mda mrefu ila mabadiliko yaliwashindaTatizo lilikua elimu
Kuna kampuni ya usafirishaji wa Mafuta inaitwa INTERPETROL naona pia iligawa maadha ya magari yake yamesajiliwa nchi jiraniRATCO kahamisha biashara, kahamia DRC, hata mabus yote kapeleka kule.
Nacharo kachukua vijana wake,
Za chini ya carpet kuwa kaamua kuanza upya na NACHARO,
Hata mjini Nacharo anajazia mafuta kwenye petrol station iliyokuwa ya RATCO pale mkwakwani
Mzee baba huyu mbona yupo na anakuja Dar to Mtera?Mshikamano dodoma
Huyu wa sasa anatumia "Michina" enzi zile alikua msweden Scania power! Chuma saa kumi na moja kiko Moro toka Mwanza.Ally's karudi kwa kasi ya hatari na mabasi ya rangi ya machungwa
Kesi ya wizi wa mafuta bandarini ndo ilimfanya aanze kubadili badili majina
Itabidi nikija huko nipande Zuberi ila kama unanidanganya, ntalala kwa dada yakoZuberi pale Mwanza anatoa malazi bure kwa abiria
Kilimo kinalipa mzee Ila lazima uwe na misuliMzee hana vina saba na Majinja kweli?. Pia kilimo kinampatia hela ya kutosha maana wateja wake wakubwa ni TBL na Serengeti anawauzia sana Shairi.
Shkamoo😵OTC niliwahi kulipa nauli ya Pesanane (Senti kumi na tano) enzi zilee
Hongera Bus Service, Mbaruku, Umba River - Dar Lushoto....Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua