Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Ally's kamwaga chuma mpyaaa ! Mke wake ndo mhasibu mkuu, yule mama akishka tu kitabu cha tiket kabla ya kufunua anakwambia weka kias kadhaa mezani.
Eee mama ndo msimamizi sababu hela nyingi za hiyo kampuni in za baba yake, Mme wake yeye ni kusimamia gereji na magari na hilo analiweza ila pesa ni mama. Lakini pia Allys ana ndugu zake watatu na mtoto wa kaka ake nao wana mabas kama Allys Sport, Allys chombo ya fundi, na Allys Express huyu wa igunga huku yeye akijiita Allys Star ndo hizi za orange
 
Shabaha ndio Kilimanjaro Bus
Ngorika ndio Kaprikoni
Bufallo ndio Happy Nation
Akamba imenunuliwa na Modern Coach
Mohamedi Trans ndio Scorpion bus
Tahmeed imekombine Yale matawfiq, taqwa nk nk
Mkuu upo vizuri
 
RATCO kahamisha biashara, kahamia DRC, hata mabus yote kapeleka kule.

Nacharo kachukua vijana wake,

Za chini ya carpet kuwa kaamua kuanza upya na NACHARO,

Hata mjini Nacharo anajazia mafuta kwenye petrol station iliyokuwa ya RATCO pale mkwakwani
Kuna kampuni ya usafirishaji wa Mafuta inaitwa INTERPETROL naona pia iligawa maadha ya magari yake yamesajiliwa nchi jirani
 
Mzee hana vina saba na Majinja kweli?. Pia kilimo kinampatia hela ya kutosha maana wateja wake wakubwa ni TBL na Serengeti anawauzia sana Shairi.
Kilimo kinalipa mzee Ila lazima uwe na misuli

Zana za kisasa kuanzia kulima hadi kuvuna na eneo kubwa sana

Sumry sijui Kama ana hamu na hio biashara ya usafirishaji Tena

Na Kama akirudi Basi for show off maana Ni biashara kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Hongera Bus Service, Mbaruku, Umba River - Dar Lushoto....
 
Back
Top Bottom