Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Scandinavia alifufuka miaka flani na kuleta gari aina ya Green star Mbeya to Dar lakini nalo limepotea. Naona limepaki Morogoro kwenye karakana yao .

Hood huwa anataembea Ila anachechemea sana. Mbeya to Arusha

Sumry amebadili biashara.
 
Shabaha ndio Kilimanjaro Bus
Ngorika ndio Kaprikoni
Bufallo ndio Happy Nation
Akamba imenunuliwa na Modern Coach
Mohamedi Trans ndio Scorpion bus
Tahmeed imekombine Yale matawfiq, taqwa nk nk
Hapana msae ndio Kilimanjaro................ Na Kaprikoni Ni mtoto Ni mtoto wa mzee Mberesero aliyekuwa na Ngorika......... Kampuni Mama wamegombana.....
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua

Yawezekana hizo kampuni zipo tu ila wamiliki wake wamebadilisha majina kukwepa kodi au kuficha watu uozo fulani uliokuwa umefanya na hayo makampuni hapo mwanzo.
 
N
Hivi Ngorika ilipotea wapi?! Nakumbuka kuna Basi lao moja hivi lilikua linaitwa Ngorika Chuma. Linatoka Dar Saa 12 asubuhi, Saa 7 kasoro lipo Moshi
Ngorika wamegombana.... Kaka mkubwa na mkewe walikuwa wakichezea share za ndugu wengine na mke wa brother akajenga petrol station kupitia mapato ya Ngorika bila ndugu wengine kushirikishwa...... Ndugu wakaenda mahakamani wakastopusha kampuni mama till further notice
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Mtwara Raha
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Labda ndio hawa hawa wanaotamba sasa, walibadili majina tu ili kwenda sawa na kizazi hiki cha mwendokasi! May be!
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Kizota tanga
Tahafiff tanga
Kizota tanga
Swabara tanga
Tango arusha
Baba ni baba
Tawaqal kiswele
Ila hood na sabco baba na mwana wacha wasepe tu
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Igesa line iringa
Sharkus ........
Uranga
Comfort iringa
 
Back
Top Bottom