Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kitambo sana miaka ya 99 iyo.Tawaqal
Masiha
Air shengena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambo sana miaka ya 99 iyo.Tawaqal
Masiha
Air shengena
Hapana msae ndio Kilimanjaro................ Na Kaprikoni Ni mtoto Ni mtoto wa mzee Mberesero aliyekuwa na Ngorika......... Kampuni Mama wamegombana.....Shabaha ndio Kilimanjaro Bus
Ngorika ndio Kaprikoni
Bufallo ndio Happy Nation
Akamba imenunuliwa na Modern Coach
Mohamedi Trans ndio Scorpion bus
Tahmeed imekombine Yale matawfiq, taqwa nk nk
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Ngorika wamegombana.... Kaka mkubwa na mkewe walikuwa wakichezea share za ndugu wengine na mke wa brother akajenga petrol station kupitia mapato ya Ngorika bila ndugu wengine kushirikishwa...... Ndugu wakaenda mahakamani wakastopusha kampuni mama till further noticeHivi Ngorika ilipotea wapi?! Nakumbuka kuna Basi lao moja hivi lilikua linaitwa Ngorika Chuma. Linatoka Dar Saa 12 asubuhi, Saa 7 kasoro lipo Moshi
Marhabaaa!!!Shkamoo😵
Mtwara RahaScandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Umenikumbusha mbali huko Manyara miaka ya 91+
Pia air born city nayo imekufa.
Ila nahisi haya makampuni yakiona yamezoeleka yanakuja na majina mengine
Kitambo sana mzee baba born city na mtei
Labda ndio hawa hawa wanaotamba sasa, walibadili majina tu ili kwenda sawa na kizazi hiki cha mwendokasi! May be!Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
ShinyangaYawezekana mkuu sina uhakika saana
Ngorika na meridian bado zipo mkuu, tena meridian kaleta chombo mpya road zinatambaa hatariNgorika Express
Buffalo Coach
Meridian Express
Shabaha Coach
Kizota tangaScandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Igesa line iringaScandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Igesa line iringa
Sharkus ........
Uranga
Comfort iringa