Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

Labda kuna conflict of interest azam kama tv sponsor hataki hayo mambo
 
Ingefaa hata mzamini mmoja wa kampuni ya maji kuzamini ligi katika upande huo
Tuna kampuni zina uoga sana wa kutangaza. Ni tatizo la ubinafsi. Na hili ndo limechangia vyombo vya habari pendwa kuwa na hali ngumu. Maafisa Masoko na Sales wa kampuni za maji wamelala sana kwenye kujitangaza. Kwa ushindani huu wa kampuni lukuki za maji ingejitokeza hata kampuni ya maji ya mkoani huko sijui Ndanda,Mufindi spring Dew nini sijui nk nk akaingia kudhamini klabu kubwa ya ligi kuu nembo yao ikaonekana ingekuwa bonge la taizi
 
Back
Top Bottom