white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tatizo lenu MATAGA MASALIA, huwa hamna kumbukumbu kwani mchakato wa kupandisha gharama za mawasiliano(bundles)ulipitishwa na serikali gani?hadi zikaanza kutumika mwezi April 2021, wadanganyika wakapiga kelele, zoezi likasitishwa, sasa limerudi kimya kimya, japo sio kwa kiwango kile.Sakata la mafuta ya kupikia toka mwaka jana enzi zake hadi leo ni kilio tu.Na matatizo mengi yaliyopo sasa chanzo chake ni awamu yake"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau
Serikali ya wafanyabishara na wamiliki wa makampuni ya simu!Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
View attachment 1958946
View attachment 1958947
Chuki binafsi kwa magufuli, mkuu unayo.Tatizo lenu MATAGA MASALIA, huwa hamna kumbukumbu kwani mchakato wa kupandisha gharama za mawasiliano(bundles)ulipitishwa na serikali gani?hadi zikaanza kutumika mwezi April 2021, wadanganyika wakapiga kelele, zoezi likasitishwa, sasa limerudi kimya kimya, japo sio kwa kiwango kile.Sakata la mafuta ya kupikia toka mwaka jana enzi zake hadi leo ni kilio tu.Na matatizo mengi yaliyopo sasa chanzo chake ni awamu yake
hoja yake ya kweli au ya uongo mzee?Chuki binafsi kwa magufuli, mkuu unayo.
Inaweza kuwa ina ukweli kwa kiasi fulani yaani ni magu 40/ Suluhu 60 lakini namna alivyopresent anaonesha wazi kabisa chuki binafsi aliyonayo dhidi ya magufuli.hoja yake ya kweli au ya uongo mzee?
Tigo ni Zantel iliyochangamkaZantel ni Tigo
Vifurushi Hivyo hua si vifurushi maalumu hua ni offer, Hivyo mtandao husika unaweza kubadili kadili uwezavyo.Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
View attachment 1958946
View attachment 1958947
Alisikika akisema "Tunafungua Nchi"Serikali ya mama inatuchezea akili sanaaaaaa,si vyakula wala gharama za vitu vingine vyote vinapandishwa.
Hakumbukwi mtuuu"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau
Kama kuna wasomi ambao hawana msaada hii nchi ni wanasheria...hawaelewi hata loopholes za kupigia helaHivi sio kosa kisheria kwa makampuni ambayo Ni competitors kwny biashara kukaa chini pamoja na kupanga Bei za bidhaa zao?Wanasheria msaada kidogo hapo
True, i wish watu wafahamu hili. Mimi sijawahi pewa hiko kifurushi cha mtoa mada. Sijawahi hata kukiona. Kwa internet kwangu ukitizama utaona 1000 =300MB. Ili niweze kupata internet ya afadhali naunga kuanzia cha 5000.Ifahamike kwamba vifurushi hivi havina mfanano Kwa wateja wote.
Yani wanachofanya wakiona wewe ni mteja mzuri wanakupandishia wewe kama wewe,ukiwapiga chini Kwa muda wanakupa tena ofa kabambe.
Binafsi huwa ninacheza na voda na tigo, voda walinikazia nikapiga chini nikaishi na tigo Kwa kifurushi cha 5000 GB 2,dkk 200 Kwa wiki ,wakaniona kiazi wakafika level ya GB 1.2 dkk 150 Kwa 5000,nikapiga chini kurudi voda nikakuta washanilegezea
Good,mkuu akikuunga tupe mrejesho hapaMkuu kama unahiamini unaunga kweli na sio utaperi njoo uniunge malipo baada ya huduma kuwa active shahidi hii comments unaunga kwa sh ngap weka bei pia kwa mtandao gani na gani+??
Kwenye vyakula ukiacha mafuta hakuna kilichopandaSerikali ya mama inatuchezea akili sanaaaaaa,si vyakula wala gharama za vitu vingine vyote vinapandishwa.