white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tatizo lenu MATAGA MASALIA, huwa hamna kumbukumbu kwani mchakato wa kupandisha gharama za mawasiliano(bundles)ulipitishwa na serikali gani?hadi zikaanza kutumika mwezi April 2021, wadanganyika wakapiga kelele, zoezi likasitishwa, sasa limerudi kimya kimya, japo sio kwa kiwango kile.Sakata la mafuta ya kupikia toka mwaka jana enzi zake hadi leo ni kilio tu.Na matatizo mengi yaliyopo sasa chanzo chake ni awamu yake"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau