Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

"Mtanikumbuka" alisikika jamaa fulani watu wakamdharau
Tatizo lenu MATAGA MASALIA, huwa hamna kumbukumbu kwani mchakato wa kupandisha gharama za mawasiliano(bundles)ulipitishwa na serikali gani?hadi zikaanza kutumika mwezi April 2021, wadanganyika wakapiga kelele, zoezi likasitishwa, sasa limerudi kimya kimya, japo sio kwa kiwango kile.Sakata la mafuta ya kupikia toka mwaka jana enzi zake hadi leo ni kilio tu.Na matatizo mengi yaliyopo sasa chanzo chake ni awamu yake
 
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.

View attachment 1958946

View attachment 1958947
Serikali ya wafanyabishara na wamiliki wa makampuni ya simu!
 
Sasa tumeliachia jeshi lifanye maamuzi maana wametingishwa wametingishika, siku zote hutuona wananchi makolo.
 
Tatizo lenu MATAGA MASALIA, huwa hamna kumbukumbu kwani mchakato wa kupandisha gharama za mawasiliano(bundles)ulipitishwa na serikali gani?hadi zikaanza kutumika mwezi April 2021, wadanganyika wakapiga kelele, zoezi likasitishwa, sasa limerudi kimya kimya, japo sio kwa kiwango kile.Sakata la mafuta ya kupikia toka mwaka jana enzi zake hadi leo ni kilio tu.Na matatizo mengi yaliyopo sasa chanzo chake ni awamu yake
Chuki binafsi kwa magufuli, mkuu unayo.
 
hizo ni offer maalumu hazina guarantee na life span zake hua hazitabiriki, muda wowote unakuta vimepunguzwa
 
Wengine wakiona una unga bando mara nyingi siku nyngne unaweza ukaunga bando ikaenda yote ndani ya dk kadhaa tu, cku moja nmeunga GB 1 nastream zangu game dk ya 18 naletewa sms eti mb zmeisha nkauhama mtanda cku hiyohiyo
 
Wana dharau sana ata wakiona una unga sana kifurushi flan wana kibadilisha na kukishusha zaidi
 
hoja yake ya kweli au ya uongo mzee?
Inaweza kuwa ina ukweli kwa kiasi fulani yaani ni magu 40/ Suluhu 60 lakini namna alivyopresent anaonesha wazi kabisa chuki binafsi aliyonayo dhidi ya magufuli.
 
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.

View attachment 1958946

View attachment 1958947
Vifurushi Hivyo hua si vifurushi maalumu hua ni offer, Hivyo mtandao husika unaweza kubadili kadili uwezavyo.
 
Hivi sio kosa kisheria kwa makampuni ambayo Ni competitors kwny biashara kukaa chini pamoja na kupanga Bei za bidhaa zao?Wanasheria msaada kidogo hapo
Kama kuna wasomi ambao hawana msaada hii nchi ni wanasheria...hawaelewi hata loopholes za kupigia hela
 
Kweli aisee hata Zantel nao wamepunguza sana kutoka mb500 kwq jero na kuwa mb250 nusu nzima wametoa aisee pia kutoka tsh 1500 kwa gb1 na nusu na dakika 160 mitandao yote wiki Na sms 500 mpaka dakika 50 sms50 na mb900
Screenshot_20211001-113514.jpg
 
Ifahamike kwamba vifurushi hivi havina mfanano Kwa wateja wote.

Yani wanachofanya wakiona wewe ni mteja mzuri wanakupandishia wewe kama wewe,ukiwapiga chini Kwa muda wanakupa tena ofa kabambe.

Binafsi huwa ninacheza na voda na tigo, voda walinikazia nikapiga chini nikaishi na tigo Kwa kifurushi cha 5000 GB 2,dkk 200 Kwa wiki ,wakaniona kiazi wakafika level ya GB 1.2 dkk 150 Kwa 5000,nikapiga chini kurudi voda nikakuta washanilegezea
True, i wish watu wafahamu hili. Mimi sijawahi pewa hiko kifurushi cha mtoa mada. Sijawahi hata kukiona. Kwa internet kwangu ukitizama utaona 1000 =300MB. Ili niweze kupata internet ya afadhali naunga kuanzia cha 5000.
 
Mkuu kama unahiamini unaunga kweli na sio utaperi njoo uniunge malipo baada ya huduma kuwa active shahidi hii comments unaunga kwa sh ngap weka bei pia kwa mtandao gani na gani+??
Good,mkuu akikuunga tupe mrejesho hapa
 
Ile Usiku pack ya GB 10 Kwa 1,500 Airtel wameifuta wameacha MB 385.
 
Back
Top Bottom