Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

Kaenda labda kuwashauri wapandishe bei huko.
Tumbo kubwa akili za mtoto darasa la pili
 
Piga kabisa huyo huyo mjinga Pole pole
 
Kwenye maelezo yote ya Polepole kachukua la mtungi wa gesi tu!??.., si aende Msoga kwa JK amuhoji huku akijirekodi amuulize kama yeye na Rostam walishiriki kumtanguliza JPM, tuone kama atabaki salama😂
Aende pia kuhoji Tanganyika itapata lini uhuru wake ili muungano ufe na Tanganyika kuondokana na Kaburu mkoloni Dikteta toka Zanzibar
 
Ni Kwa nini hakuenda huko ubalozini kabla ya kuzichapisha hizo habari zake? Ukanjanja mtupu huyu kamwaga.
 
Aende akahoji mkataba wa DP world na aenda nyumbani kwa Angela kiziga kuhoji tuhuma za wizi zinazomkabili
 
Ibilisi wa ccm chawaccm wavuta Bangi wameamka sasa wameenda kuchukua posho kwa Angela kiziga na Rostam Aziz kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Lini ataenda nyumbani kwa Rostam kuulizia wizi wa Rasilimali za nchi?
 
Ametumwa Rostam Azizi wa Taifa Gas😡
 
Gesi ni kitu cha msingi ndiyo kwani inatumika chakula muhimu kwa uhai wa mwanadamu, Cuba wao Gesi ni sehemu ya huduma toka Serikali kuu, wananchi huchangia kiasi tu, njia ya muongo ni fupi mbona ccm ina uongo miaka 65 Nchi haina maendeleo? Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema kuwalea kuwahudumia chauma ubwabwa, ni kubwa kuliko inayotumika kuleta maendeleo, kazi yenu kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo chadema kuiba pesa za walipa kodi kuwakumbatia Rostam Aziz Angela kiziga na magenge yao wezi wa Rasilimali za Nchi,
 
Kaenda labda kuwashauri wapandishe bei huko.
Tumbo kubwa akili za mtoto darasa la pili
Ha ha ha mara nyingi mtu akinenepa sana mafuta hujaa kwenye ubongo uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo sana matokeo yake anakuwa mbea mbea msengenyaji mfitini na mambo ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…