Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

Kwenye maelezo yote ya Polepole kachukua la mtungi wa gesi tu!??.., si aende Msoga kwa JK amuhoji huku akijirekodi amuulize kama yeye na Rostam walishiriki kumtanguliza JPM, tuone kama atabaki salama😂
🤣 🤣 🤣 🔊
 
Kama ni urongo basi mengine yote anayosema bw. Polepole ni urongo. Unadanganyaje umma kwa confidence kiasi hiki. Polepole ni muongo tuuu!!!!! Period
Ongezea pia :
Akamuhoji dpp pia - Kwa nini kundi la wana mtandao hawajakamatwa na kushtakiwa Kwa uhaini na uhujumu uchumi hadi sasa
 
Mind games.
 
Hii ndio type ya machawa, yaliyojaa kwenye vyombo vya habari,baba zima linatikisa makalio, linaona kuitetea ccm ni jambo LA manana sana! Mbona kuna mambo mengi yasioeleweka na halijawahi, kuyafatilia,
Vijana waliotekwa, jaribio LA mauaji ya, lisu, mbona hajafatilia upelelezi wake, ukosefu wa, ajira, wahitimu huwa, wanaenda wapi, baada ya, kutoka chuo,
Hqpo linatafuta lionwe na mabwana huko ccm, ili lije lipate uteuzi! Kenge kabisa
 

Atakuwa kakubali kuufanyia ushauri wa Polepole kwenda huko siyo google.

Akitoka huko awakumbushe na wenzake:

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

Waja leo Mologolo au nasema uongo?
 
Hiyo mmeona ndo hoja? Huyu kumwaga oil anajidhalilisha tu. Mbugila kabisa
 
Sasa si aende tu CUBA? Akapate uhakika kabisa, hapo ubalozini anaweza asiambiwe ukweli. Aende CUBA, atafute mashahidi, aende nao kuuliza bei - na pia apige picha za hizo bei sehemu tofauti tofauti zinapouzwa.
 
Swala la kutekwa au kuuwawa binadamu siyo jema kabisa hata Mimi nalipinga sana. Lakini kutufunga kamba kwamba gesi buku mbili siyo sawa pia. Tunaomba bwana kimwaga amwage data zilizopatikana hapo ubalozini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…