Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Makame yuko vizuri sana,jamaa anafaa sana kuongoza kizazi cha kidigitali
 
Hongera kwa kueleza hilo
Naunga mkono

Nilisikia kuwa hussein kagomea uwazir tangu march hivyo vikao vyote na wizaran haendi sikuhizi, nadhan zitakuwa na ukweli

Mpaka sasa joni anaoption nyingine ya act

Sina uhakika kama atapitishwa na Chama kwa sababu mbalimbali zikiwemo hizi zingine ambazo nawe pia umeziweka hadharani hapa Kwetu sasa.
 
Msingi Mkuu wa majadiliano humu jf ni kubishana kwa hoja, kwa hoja kujibiwa kwa hoja na au kupanguliwa kwa hoja na sio kwa viroja.

Umeleta hoja dhaifu kwa kuzijenga kwenye dhana ya uongo. Joni sote tunamfahamu jinsi alivyo jasiri na asiyeogopa mtu, leo unamsingizia uongo wa mchana kweupe kuwa Joni anamuogopa mtu!.

Nikija kwa Huseni, usikute wewe umemfahamia Hussein hapo ulipomfahamu, its very unfortunately unamtungia uongo wa kubebwa!. Kwa taarifa tuu, Hussein namfahamu kitambo, nimesoma nae Tambaza, wakati Hassan ni rais wa JMT!, hivyo nimesoma na mtoto wa rais and always was simple, humble and down to earth!. Hadi leo hadi kesho kuanzia baba yake Hassan hajawahi kuwa na mtandao wowote na hajawahi kumbeba mwanae Hussein. Hussein amefikia hapo alipofika on his own merits na sio kwasababu baba yake alikuwa rais, hivyo huo pia ni uongo na nimepangua hoja yako ya uongo with facts. Ukiitetea tetea with facts.

Mwisho huwa nitatumia references kwenye hoja zangu, kwa vile Watanzania walio wengi ni vilaza tuu kama ilivyo, japo sijui kiwango cha elimu yako hivyo sorry kukuita kilaza kwasababu tuna hadi watu wenye Ph.D lakini ni vilaza tuu!, mtu huwezi kuandika literacy level au kutoa hoja bila references, ukiona mtu hapendi kusoma reference kwenye hoja yoyote, huyo ni kilaza tuu!.
Hivyo ninapoweka zile references zangu, naziweka kwa ajili ya learned brothers and sisters wanaopenda kusoma hoja with reference facts na sio kwa ajili ya vilaza wasoma heading.

JF was meant for GT, lakini in reality ma GT wapo, ordinary people wapo, simple minds na vilaza pia wapo, JF ni ya wote,enjoy!
Good day.
P
 
Kwa mbali naanza kupata mwanga. Lisemwalo lipo, Kama halipo laja. Wenyewe wanasema hawataki usultani.
 
Kwa mbali naanza kupata mwanga. Lisemwalo lipo, Kama halipo laja. Wenyewe wanasema hawataki usultani.
 
Unajua imemjibu Jo? Natania tu mjomba
 
John kaingia mjengoni 1995 wakati Husein kaingia mjengoni 2000.

2000 John alikuwa waziri kamili wakati Husein akiwa N/W Afya.

2005 ndipo Hussein akawa waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano huku John akiendelea kuwa Waziri wa Nyumba na maendeleo ya makazi.

Ni kumkosea heshima mtu ambae kaingia kwenye cabinet 2000 vs mtu aliengia kwenye cabinet 2005.

So far John kasha attain kuwa CIC kitu ambacho Hussein hana kwa sasa. Huwezi kusema John anamwogopa mwajiriwa wake na mtu ambae anategemea discretion ya CC na NEC ili kupeperusha bendera ya visiwani.

Tujipe muda; this time in July tutajua moshi wa kijani utamruzukia nani.

Kama Hussein atafanikiwa based on his merit itakuwa nzuri maana baadhi wanadai Prof. Makame hajawahi kushinda nafasi ya kuchaguliwa; japo sioni kama hiyo hoja ina mashiko sana.

Muda ni mwl mzuri na tuwatakie kila la kheri watakaochukua form; na tunawatakia kheri walio na mamlaka ya kuchekecha nani apenye na nani abaki.

Wasalaam
 
Mkuu Freddie, huyu kilaza aliyeleta bandiko hili with no facts, hawezi kuupenda mchango wako huu full of facts!.
Anajenga hoja kwa uongo na uzushi, eti Joni ni muoga na anawaogopa watu?, hadi amuogope mtu fulani ambaye yeye ndie amemteua na kumtegemea kumpitisha kwenye vikao vya maamuzi!. Tangu lini Joni ni muoga labda awe ameanza leo!.

P
 

Sina Kiwango cha Elimu na sikubahatika Kusoma kama Wewe ila mbona Wewe Mwenzetu pamoja na Kujipendekeza kwa JPM hata Huteuliwi nae?
 

Pamoja na Ukilaza wangu huu ila sihami hami Majengo ya Ofisi kwa Kushindwa Kulipa Kodi ya Kampuni yangu na Kujikomba hovyo tu kwa Wakuu.
 
Umezidi unafki na kujikomba Sana unavizia nafasi ya Abbas nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…