Msingi Mkuu wa majadiliano humu jf ni kubishana kwa hoja, kwa hoja kujibiwa kwa hoja na au kupanguliwa kwa hoja na sio kwa viroja.
Umeleta hoja dhaifu kwa kuzijenga kwenye dhana ya uongo. Joni sote tunamfahamu jinsi alivyo jasiri na asiyeogopa mtu, leo unamsingizia uongo wa mchana kweupe kuwa Joni anamuogopa mtu!.
Nikija kwa Huseni, usikute wewe umemfahamia Hussein hapo ulipomfahamu, its very unfortunately unamtungia uongo wa kubebwa!. Kwa taarifa tuu, Hussein namfahamu kitambo, nimesoma nae Tambaza, wakati Hassan ni rais wa JMT!, hivyo nimesoma na mtoto wa rais and always was simple, humble and down to earth!. Hadi leo hadi kesho kuanzia baba yake Hassan hajawahi kuwa na mtandao wowote na hajawahi kumbeba mwanae Hussein. Hussein amefikia hapo alipofika on his own merits na sio kwasababu baba yake alikuwa rais, hivyo huo pia ni uongo na nimepangua hoja yako ya uongo with facts. Ukiitetea tetea with facts.
Mwisho huwa nitatumia references kwenye hoja zangu, kwa vile Watanzania walio wengi ni vilaza tuu kama ilivyo, japo sijui kiwango cha elimu yako hivyo sorry kukuita kilaza kwasababu tuna hadi watu wenye Ph.D lakini ni vilaza tuu!, mtu huwezi kuandika literacy level au kutoa hoja bila references, ukiona mtu hapendi kusoma reference kwenye hoja yoyote, huyo ni kilaza tuu!.
Hivyo ninapoweka zile references zangu, naziweka kwa ajili ya learned brothers and sisters wanaopenda kusoma hoja with reference facts na sio kwa ajili ya vilaza wasoma heading.
JF was meant for GT, lakini in reality ma GT wapo, ordinary people wapo, simple minds na vilaza pia wapo, JF ni ya wote,enjoy!
Good day.
P