Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

inasemaje hiyo issue ya paskali
 
Umeongea ukweli Kabisa.

Nimemsikia Baba Ommydimpozi alivyomjibu mwanaye.
Kamjibu kibingwa, ameongea kama Mwanaume na BABA.

Anakuambia hata hao watoto wake 17 wamtose yeye kamwe hawezi bembeleza watoto[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Navuta pumzi, nitakuja kulitikisa jukwaa haswa.
 
Always be a man and stand back your ground,wanawake ni muhimu kwa mwanaume lakini usiwaweke mbele zaidi,fanya kazi kwa bidii tafuta pesa na si kwa ajili ya wanawake ni kwa ajili ya maisha yako.
 
Mkuuu taikuni ww ni jembe,endelea kutuelimisha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…