Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Nimeambatanisha hapo kusisitiza hoja, lakini pia manguli wengi wa bibliani hawakuwa na mke mmoja, sijui unatushauri vipi Mtakatifu Anne.View attachment 1595626
Unabii umetimia. Wakati huo, ndio wakati huu wa leo. Research zimefanyika na kuonyesha kwa sasa wanawake ni wengi zaidi kuliko wanamume. Hivyo mwanaume mmoja, anaweza kuoa hata zaidi ya wake wanne.
 
Kitu ambacho huwa sikifikiriagi n kutoa mahari,huwa naamin kumuoa binti wa mtu ni kama nimeisaidia familia yao kupunguza limzigo
 
Inasikitisha Sana kuona baadhi ya wasichana wanajilipia mahari.
Usisikitike, si unajua kitu unabii! Unabii ni lazima utimie, na ndio mnautimiza ninyi, mnaomba muitwe kwa majina yetu na ndio mnajilipia...
 
Mwanaume atabaki mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke

Ukitaka kutolewa mahari basi badilika uwe wa kike ,,kitu ambacho hakiwezekani.
Ni tamaduni tu, mbona uhindini mwanamke ndio analipa mahari, mbona kwa weupe hakuna habari ya mahari? Sio swala la uanaume au uanamke ni tamaduni za kiafrika tu ambazo kwa sasa hatuoni mantiki yake kama ambavyo yapo mengine tunaona hayana mantiki.
 
Usisikitike, si unajua kitu unabii! Unabii ni lazima utimie, na ndio mnautimiza ninyi, mnaomba muitwe kwa majina yetu na ndio mnajilipia...
Bado hatujakata tamaa kiasi hicho
Halafu jaribu kuisoma hiyo sura nzima.
 
Kijana ndiye alilazimisha kuoa na wala si wazazi waliomlazimisha.

Kijijini nimeishi.

Mwanaume nitamsaidia mambo yote lakini si kumpa hela ya mahari..ni Bora nisiolewe kama ni hivyo.
 
Ni tamaduni tu, mbona uhindini mwanamke ndio analipa mahari, mbona kwa weupe hakuna habari ya mahari? Sio swala la uanaume au uanamke ni tamaduni za kiafrika tu ambazo kwa sasa hatuoni mantiki yake kama ambavyo yapo mengine tunaona hayana mantiki.
Kama hamuoni mantiki yake basi nendeni kwa wahindi wakawalipie mahari au nendeni kwa wazungu mkaoe bure.
 
Kama hamuoni mantiki yake basi nendeni kwa wahindi wakawalipie mahari au nendeni kwa wazungu mkaoe bure.
Mimi nimetetea tu hoja niliyoamua kuisimamia, tunaandaa kikao cha kukacha kulipa mahari, tena kwa hawa watoto wetu ambao "wameshaolewa" kabla ya kuolewa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1666]
 
Mimi nimetetea tu hoja niliyoamua kuisimamia, tunaandaa kikao cha kukacha kulipa mahari, tena kwa hawa watoto wetu ambao "wameshaolewa" kabla ya kuolewa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kikao mnaanda na watu gani??
Hawahawa fungua zipu waliooa kabla ya kuoa?!
Endeleeni kupoteza muda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…