Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!



Sema Dar es salaam una maeneo mengi ya kupata msaada na kupiga mizinga, ila Mahali ni pagumu na parahisi kwa kutegemeana na mtu.
 
Sema Dar es salaam una maeneo mengi ya kupata msaada na kupiga mizinga, ila Mahali ni pagumu na parahisi kwa kutegemeana na mtu.
mkuu hapa ni njiapanda unajiamulia mwenyewe uende wapi. legal or black market
 
mkuu kwa hiyo unani karibisha bariadi nije niliwe na fisi ?
HAPANA,ENDELEA KUKAA DAR MKUU.NA NAWATAKIA KILA LA HERI KTK KUPAKANA MAFUTA YA NAZI..SI NDO MICHEZO YENU MKIISHIWA MIPANGO MNATUMIA VIJAMBIO VYENU KUISHI MJINI?HUKU BUSH TUNAFUGA,TUNALIMA HALAFU TUNAWAUZIA MADALALI WENU WANAWALETEA DAR MLE MSHIBE THEN MKAFIRA#? MPAKA MAVI YAWATOKE.
 
unarudi pale pale ukiondoa matusi.
Dsm ni hub ya kilakitu(market) kumbuka kilimo sio pembejeo coz
kabla hujalima unangalia kwanza market trend ya zao husika. hapa ndio kitovu cha uchumi nchini
 
Mikoani kutoboa ni ngumu Sana , Dar ndo sehemu pekee unayoweza toboa bila kuroga , mikoani ukiwa na kiduka tuu tayar upo aleterd , wivu , kijicho na majungu vinaanza , na unatakiwa uwe na mtaji mkubwa Sana kutengeneza pesa mingi , Dar unaweza kuwa na mtaji wa million 500 Ila hamna anayejua wala kuwa na time na ww..na hii ndo Siri ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…