Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

juzi juzi tu, madon ,wenye utu na wanene wa jf
wametoka kutumia watu nauli wamekwama huko mikoani kisa dhuluma na fitna za watu wa mikoani
 
Sasa mkuu vijana wote wa mikoani wakaja hapa daslamu itakuwaje??

Wapambane wakiwa huko huko watatoboa....... japo hapa daslamu akili inatakiwa ichangamke sana maana kuna majamaa yapo hapa mjini kitambo na hajatoboa
 
Namimi nilikua na mawazo kama yako back days ila sasa hivi simiyu huku napambana baada ya kukimbia dar😅
 
Tunaoishi Dar tunaishi Obey, Msasani, Masaki, Upanga, Mikocheni, Mbezi Beach, Bahari Beach, Kunduchi na Mbweni. Nye wengine wa sijui Gongolamboto, Tabata, Ubungo, Kiwalani, Mbagala, Temeke na kwingineko kote ni aheri uishi mkoani kuliko hizo sehemu..
 
Sasa mkuu vijana wote wa mikoani wakaja hapa daslamu itakuwaje??

Wapambane wakiwa huko huko watatoboa....... japo hapa daslamu akili inatakiwa ichangamke sana maana kuna majamaa yapo hapa mjini kitambo na hajatoboa
sawa mkuu , ila wapunguze mauaji ya walemavu ngozi huko mikoani kwa kuamini kwamba watapata utajiri. utajiri watanzania wenzangu unapatikana kwa kufanya kazi
 
Tunaoishi Dar tunaishi Obey, Msasani, Masaki, Upanga, Mikocheni, Mbezi Beach, Bahari Beach, Kunduchi na Mbweni. Nye wengine wa sijui Gongolamboto, Tabata, Ubungo, Kiwalani, Mbagala, Temeke na kwingineko kote ni aheri uishi mkoani kuliko hizo sehemu..
mkuu mimi niko bunju-mapwepande.
 
Sasa mkuu vijana wote wa mikoani wakaja hapa daslamu itakuwaje??

Wapambane wakiwa huko huko watatoboa....... japo hapa daslamu akili inatakiwa ichangamke sana maana kuna majamaa yapo hapa mjini kitambo na hajatoboa
Mbunge msukuma ana mabasi mia moja na helicopter anajiendesha mwenyewe katajirikia mkoani Geita
 
Geita nawasihi , punguzeni matukio ya kikatili . though na nyie mgeni kutoboa kwenu ni 0.0001 .

otherwise awe na hirizi kiunoni

wasalimu chato mkuu
 
Back
Top Bottom