Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

Utasikia ndugu yangu nibebee ata unga ndoo alaf mgeni akifika tu swali la kwanza ni unakaa kwa siku ngapi na siku ya kuondoka humpi ata mkate wa buku kama sio umasikini huo ni nini..
nasie tukija kwenu ,siku ya kuondoka hatuagi kizembe tunaogopa kurushiwa vimbola kwenye safari zetu za kuja dsm
 
Nyie mkija mikoani mnatutia hasara maana siku ya kuondoka mnafungasha hadi kuku, mihogo,mpunga hadi mahindi ya mbegu mnaacha ndugu zenu masikini wakati siku ya kuja ulibeba mkate ambao asubuhi ulinywea chai ww mwenyw tu.
nasie tukija kwenu ,siku ya kuondoka hatuagi kizembe tunaogopa kurushiwa vimbola kwenye safari zetu za kuja dsm
 
umenifurahisha boya wewe

vp lakini ,za kiteto mkuu !
we bwege
Mimi ni " mkali wa donta" kitambo Sinza ndio maskani Ila napinga akili Kama zako za kuona kuishi keko magurumbasi,kwa mfuga mbwa,kwa bonge,ulongoni ni bora kuliko Sakina,Raskazone,shanty town, Forest,Capripoint
kuishi ulongoni au mbagala kichemchem ni bora nisiishi Dar !
 
acha kudanganya wenzio basi...
Maisha ni popote
 
wasalimie kigoma ujiji
 
Tunaoishi Dar tunaishi Obey, Msasani, Masaki, Upanga, Mikocheni, Mbezi Beach, Bahari Beach, Kunduchi na Mbweni. Nye wengine wa sijui Gongolamboto, Tabata, Ubungo, Kiwalani, Mbagala, Temeke na kwingineko kote ni aheri uishi mkoani kuliko hizo sehemu..
Broooh, sawa tu. Nimekubali naishi mkoani... ila sisi wa mikoani ndio tutakuzika ujue?
Huko kwenu yamejaa majambazi acha niendelee kuishi hukuhuku.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mtu wa Dar hawezi kutafuta maisha mikoani,maana wamezowea kula mihongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…