KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

Vizuri kama umeacha sababu hujalazimishwa ni maamuzi yako hongera wacha sisi tuendelee kupendelewa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanakamfumu kafundisha timu gani na kwa mafanikio gani? asije akawa ni mwana simba anayeleta propaganda za kutushusha chini tulipofikia, Zahera kazia hapo hapo wataelewa tu kuwa yanga mbele daima nyuma mwiko
Hahaaaah kwa hiyo kuongoza ligi ndo hatua kubwa mliyofikia...maajabu hayataisha duniani hapa
 
Mlikuwa mnampakazia na kumpa shutuma Malinzi kuwa anaibeba Yanga,sasa hivi Viongozi wote wa TFF ni Simba na bado mnalialia,kweli nyie ni Mambumbumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Waliotanuliwa wako hatua ya makundi Club bingwa africa..wasiotanuliwa nawenyewe wapo hatua ya magroup ya whatsaap ndondo cup tanzania
 
Yanga anaongoza ligi...simba amefuzu hatua ya makundi club bingwa africa..sasa sjui hapo nani anamafanikio na nani anamwonea wivu mwenzie
 
Waliotanuliwa wako hatua ya makundi Club bingwa africa..wasiotanuliwa nawenyewe wapo hatua ya magroup ya whatsaap ndondo cup tanzania
Makundi ni nini ndugu? Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kuingia huko makundini. Suala ni umekwenda makundi una uwezo Wa kusonga au kuishia hapohapo halafu urudi utuambie ulikuwa makundini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo na upashkuna Voda mkataba wao umeisha hawajataka kuongeza
 
Mii nilipoona timu inapangiwa ratiba mechi 100 Uwanja wa Nyumbani..... nikajua tayari.... nikaenda zangu kumshabikia Mwalubadu na Mau Fundi lkn sio huu utumbo wa soka letu!
 
Yanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Hii inaitwa zamu kwa zamu,Mwakani na misimu mingine mitatu mbele mtakuwa wa mchangani kama kawaida yenu na Sisi tutarudi kwenye nafasi yetu ya Kimataifa tuliyoizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mpira tu Yanga hakuna wanarukaruka tu uwanjani,kifupi hakuna timu pale
Wazee wa kulia lia kila neno mmeongea khs Yanga msimu lkn ndio kwanzaaa maneno Wananchi wanasonga,mlianza wanacheza dar tu ngoja waende mikoani,now mnalalamikia hadi michango tunayochanganya wenyewe kwa mapenzi yetu na timu,acheni kulia lia mbu3
 
Makundi ni nini ndugu? Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kuingia huko makundini. Suala ni umekwenda makundi una uwezo Wa kusonga au kuishia hapohapo halafu urudi utuambie ulikuwa makundini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Makundi ni hatua ambayo timu chache magwiji ya soka africa huingia baada ya kuzitoa timu pinzani....Hahaaaah eti yanga ndo ilikuwa ya kwanza kuingia kwenye makundi...mi tangu nimezaliwa sijawahi iona yanga imeingia makundi club bingwa africa...or nikumbushe yanga iliingia mwaka gani???tunaongea vitu current mkuu kama unataka historia njoo tukumbushane tu sababu kwenye swala la michuano ya kimataifa africa tukiangalia historia huwezi kufananisha yanga na simba...simba inarecord pana ya kufika mbali zaidi kwenye hii michuano ya kimataifa...tumekwenda makundini sababu tunastahili na tunauwezo wa kusonga
 
Umezaliwa mwaka tisini na ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa zamu kwa zamu,Mwakani na misimu mingine mitatu mbele mtakuwa wa mchangani kama kawaida yenu na Sisi tutarudi kwenye nafasi yetu ya Kimataifa tuliyoizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kupiga ramli naona...mwakani mtaenda kwani mmechukua kombe gani linalowapa tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa...hakuna timu iliyopata tiketi yoyote kuiwakilisha nchi mwaka huu so mwakani anaweza kuiwakilisha nchi yoyote awe azam,mtigwa,lipuli etc na anaweza asiwe simba wala yanga so punguza ramli kwenye mpira mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…