KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

Sasa ndio ukae ukijua kuwa Yanga Bingwa msimu huu hivyo automatically ndio Mwakilishi wako Kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
**** **** WEWE NALUDIA TENA **** WEWE NYINYI MIAKA YA NYUMA SIMBA MMEFANYA NINI KIMATAIFA?

BADALA YA KUIOMBEA TIMU YAKO BARAKA KAZI KUISEMA YANGA.

KUBEBWA INA MAANA NI YANGA TU INABWEBA NYINYI SI NDIYO WENYE HELA MNAWEZA NUNUA MAREFA WOTE SISI TUNAWEZA VIPI NA HALI YETU?

YANGA DAIMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache unafiki wa ushabiki, tuongee ukweli tu. Kwenye soka la kimataifa katika timu zetu hizi mbili kubwa (Simba na 'Wagogo wa Jangwani' Yanga), hawa 'Wagogo wa Jangwani' ndiyo timu pekee isiyofanya vizuri kimataifa, haina rekodi nzuri kama ya Simba hata siku moja. Kila mwaka wao ni jamvi la wageni ila cha kusikitisha wanajiita wa kimataifa wakati hawana lolote. Simba inaogopewa na waarab kwani wana sifa nzuri kuzifunga hizo timu ila Wagogo wa Jangwani (omba omba Yanga) hawana hiyo sifa. Tusibishane kijinga, hata Mungu wa 'Wagogo wa Jangwani', Mze Akilimali analijua hili.
 
Tupe rekodi ya Mambumbumbu wa Kariakoo Kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah okay ni vema. Yaani tena wewe ulipaswa tukuite Yanga manake mwaka ulozaliwa ndio mwaka ambao Yanga ilicheza kwa Mara ya kwanza kwenye makundi ya haya mashindano na ikaishia kwenye hiyo hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok..nikurekebishe tu mkuu ulikuwa ni mwaka 1998 ndo mara ya mwisho Yanga kuishia kwenye hatua ya makundi kwenye haya mashindano...hata tukifanya 1999......2008-1999=19,sasa mnamiaka 19 hamjawahi kufika kwenye hii hatua aliyofika simba but nyii kila cku hamuwazi mnafanyaje kuiboresha timu yenu but mnachowaza nyinyi ni muiombee simba ichemke ili mfurahi...yaani mmekuwa roho mbaya fc kama wachawi vile😂😂😂😂mnataka wote tukose ndo furaha yenu
 
Vipi ndugu hebu tafakari kwa sekunde 10 hivi unipe jibu kama ushawahi iombea yanga mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washawahi fika fainali Caf..vipi nyi mshawahi fika???
Ndio siku hiyo Rais Wa nchi kwa wakati ule akasema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ati!? Simba Nyie ndio mmetulaani kabisa mana hadi Leo tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu. Mtubu ili tuokoke tutoke kwenye kuwa kichwa cha mwendawazimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…