Yanga ndio timu ya kwanza Afrika Mashariki kucheza makundi ya CAF champions league kwa mfumo huu mpya..Yanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Kama simba kufika fainali caf nchi ikaonekana ni kichwa cha mwandawazimu...nyi ambao hamjawahi fika kabisa iyo hatua c ndo mngesababisha nchi ionekane ni ya mataahiraNdio siku hiyo Rais Wa nchi kwa wakati ule akasema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ati!? Simba Nyie ndio mmetulaani kabisa mana hadi Leo tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu. Mtubu ili tuokoke tutoke kwenye kuwa kichwa cha mwendawazimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaah mfumo wa viti maalumu baada ya kutolewa huku ambapo simba yupo kwa mabingwa wa africa😂😂😂😂😂..we jamaa umeongea pumba gani sjui...mifumo na kanuni za haya mashindano huwa inabadilika kila siku but haiondoi majina na hadhi ya haya mashindano...ngoja nikupe record yenu nyingine basi...yanga ndo timu pekee kuingia makundi cuf tangu jpm awe rais😂😂😂Yanga ndio timu ya kwanza Afrika Mashariki kucheza makundi ya CAF champions league kwa mfumo huu mpya..
Asante kwa marekebisho ila hapo 2008 nahisi ulikusudia kuandika 2018. Kwa hyo baada ya hapo ndio Yanga ikaenda kuchukua ndoo ya kombe la Klabu bingwa Afrika mashariki na kati siyo? Na mwaka 1993 ilibeba pia huko huko kwenye ardhi ya ugenini. Hii Yanga ni ya kimataifa asee acha kabisaOk..nikurekebishe tu mkuu ulikuwa ni mwaka 1998 ndo mara ya mwisho Yanga kuishia kwenye hatua ya makundi kwenye haya mashindano...hata tukifanya 1999......2008-1999=19,sasa mnamiaka 19 hamjawahi kufika kwenye hii hatua aliyofika simba but nyii kila cku hamuwazi mnafanyaje kuiboresha timu yenu but mnachowaza nyinyi ni muiombee simba ichemke ili mfurahi...yaani mmekuwa roho mbaya fc kama wachawi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnataka wote tukose ndo furaha yenu
Ndugu soma vema mistari miwili ya mwisho halafu ututake radhi, Kwa hiyo sisi wanayanga wote tupo chini ya Lipumba au Maalim Seif! Jamaa yuko sahihi manake uliongelea ishu ya simbarutty kuingia makundi,yeye akasema Yanga ndio timu ya kwanza kuingia huko,kakosea wapi?Hahaaah mfumo wa viti maalumu baada ya kutolewa huku ambapo simba yupo kwa mabingwa wa africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..we jamaa umeongea pumba gani sjui...mifumo na kanuni za haya mashindano huwa inabadilika kila siku but haiondoi majina na hadhi ya haya mashindano...ngoja nikupe record yenu nyingine basi...yanga ndo timu pekee kuingia makundi cuf tangu jpm awe rais[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha wamedata sanaNasikia sasa wanasema Yanga ni Freemasons!
Typing error nilimaanisha 2018,hueleweki ulichokiandika...but ukweli ni huu simba ndo club yenye mafanikio makubwa katika michuano ya kimataifa kuliko club nyingine yoyote hapa tanzania...ushauri wa bure sahv inatakiwa m focus katika kuijenga timu yenu kuliko kupoteza mda mwingi kuiombea mabaya simba...simba hata ikitolewa kwenye iyo michuano nyi yanga haiwaongezei wala haiwapunguzii kitu...Asante kwa marekebisho ila hapo 2008 nahisi ulikusudia kuandika 2018. Kwa hyo baada ya hapo ndio Yanga ikaenda kuchukua ndoo ya kombe la Klabu bingwa Afrika mashariki na kati siyo? Na mwaka 1993 ilibeba pia huko huko kwenye ardhi ya ugenini. Hii Yanga ni ya kimataifa asee acha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeondoka kwenye kujenga hoja umeamia kwenye typing error..nafikiri hujaelewa tulipotoka na jamaa..nilimuuliza jamaa inakuwaje yeye ambaye kwa miaka ya karibuni hajafika kwenye hatua ya makundi aliyofika simba na anawaita simba mbumbumbu....from no where akasema Yanga ndo timu ya kwanza kushiriki makundi caf chini ya mfumo mpya...ndo nikamwambia hoja zake zimekaa kitoto na siku nyingine atajisifia kuwa Yanga ndo timu ya kwanza kushiriki makundi caf chini ya utawala wa jpm...nikajaribu kumwelewesha michuano cku zote ni ileile na hadhi yake but kanuni na mifumo ya kuiendesha huwa inabadilika kila cku...sasa kuanza kusema eti timu flani ndo timu ya kwanza kushiriki hatua ya magroup caf chini ya kanuni mpya ni hoja ya kitoto....ni sawa na french kusema yenyewe ndo timu ya kwanza kuchukua world cup chini ya kanuni mpya(VAR) does it make sense....afu kanuni mpya anazozisema jamaa unajua ni zipi...ni zile za viti maalumu😂😂😂 baada ya kutolewa huku unapelekwa kuleNdugu soma vema mistari miwili ya mwisho halafu ututake radhi, Kwa hiyo sisi wanayanga wote tupo chini ya Lipumba au Maalim Seif! Jamaa yuko sahihi manake uliongelea ishu ya simbarutty kuingia makundi,yeye akasema Yanga ndio timu ya kwanza kuingia huko,kakosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unabishana waziwazi na kiongozi wa Simba mwenyewe? Yeye alisema Simba ndiyo mb......u.
It makes sense kwa anayesema Ufaransa haijawahi kushinda Kombe la Dunia.
Tangu 2000 haijawahi, timu ya mwisho kucheza makundi champion league ni Simba S.C mwaka 2003. Yanga pale ilipotolewa CCL kwenye round ya pili iliangukia challenge.hivi simba wamefanikiwa nini kimataifa ukiacha fainali ya miaka 25 iliyopita!?..yanga imecheza makundi mara ngapi tangu 2000!?
Yaani sijaeleweka hapo juu kweli? Ngoja nifupishe. Yanga ndio timu pekee kuchukua Mara mbili kombe la klabu bingwa Afrika Mashariki na kati (kwa sasa Kagame) nje ya aridhi ya TZ,kwa nini useme sisi sio Wa kimataifa? Acha masiharaTyping error nilimaanisha 2018,hueleweki ulichokiandika...but ukweli ni huu simba ndo club yenye mafanikio makubwa katika michuano ya kimataifa kuliko club nyingine yoyote hapa tanzania...ushauri wa bure sahv inatakiwa m focus katika kuijenga timu yenu kuliko kupoteza mda mwingi kuiombea mabaya simba...simba hata ikitolewa kwenye iyo michuano nyi yanga haiwaongezei wala haiwapunguzii kitu...
Umechanganyikiwa kwa jamaa kuandika CAF champions league? Uliitafsiri tofauti,ila jamaa yupo sahihi.Naona umeondoka kwenye kujenga hoja umeamia kwenye typing error..nafikiri hujaelewa tulipotoka na jamaa..nilimuuliza jamaa inakuwaje yeye ambaye kwa miaka ya karibuni hajafika kwenye hatua ya makundi aliyofika simba na anawaita simba mbumbumbu....from no where akasema Yanga ndo timu ya kwanza kushiriki makundi caf chini ya mfumo mpya...ndo nikamwambia hoja zake zimekaa kitoto na siku nyingine atajisifia kuwa Yanga ndo timu ya kwanza kushiriki makundi caf chini ya utawala wa jpm...nikajaribu kumwelewesha michuano cku zote ni ileile na hadhi yake but kanuni na mifumo ya kuiendesha huwa inabadilika kila cku...sasa kuanza kusema eti timu flani ndo timu ya kwanza kushiriki hatua ya magroup caf chini ya kanuni mpya ni hoja ya kitoto....ni sawa na french kusema yenyewe ndo timu ya kwanza kuchukua world cup chini ya kanuni mpya(VAR) does it make sense....afu kanuni mpya anazozisema jamaa unajua ni zipi...ni zile za viti maalumu[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kutolewa huku unapelekwa kule
Halafu aliyesema Simba ni mbumbumbu in Ismail Aden Rage. Kwa hiyo jamaa yeye amerejea tuNaona umeondoka kwenye kujenga hoja umeamia kwenye typing error..nafikiri hujaelewa tulipotoka na jamaa..nilimuuliza jamaa inakuwaje yeye ambaye kwa miaka ya karibuni hajafika kwenye hatua ya makundi aliyofika simba na anawaita simba mbumbumbu....from no where akasema Yanga ndo timu ya kwanza kushiriki makundi caf chini ya mfumo mpya...ndo nikamwambia hoja zake zimekaa kitoto na siku nyingine atajisifia kuwa Yanga ndo timu ya kwanza kushiriki makundi caf chini ya utawala wa jpm...nikajaribu kumwelewesha michuano cku zote ni ileile na hadhi yake but kanuni na mifumo ya kuiendesha huwa inabadilika kila cku...sasa kuanza kusema eti timu flani ndo timu ya kwanza kushiriki hatua ya magroup caf chini ya kanuni mpya ni hoja ya kitoto....ni sawa na french kusema yenyewe ndo timu ya kwanza kuchukua world cup chini ya kanuni mpya(VAR) does it make sense....afu kanuni mpya anazozisema jamaa unajua ni zipi...ni zile za viti maalumu[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kutolewa huku unapelekwa kule
Ishu hapa ni kwamba mnajivuna kwamba simba imeingia makundi,ndipo Hoja inakuja kwamba kwani makundi kitu gani? Yanga ndio timu ya kwanza kuingia huko. So mkitaka kuongea zaidi vukeni kwenye hatua ya makundini sawa na french kusema yenyewe ndo timu ya kwanza kuchukua world cup chini ya kanuni mpya(VAR) does it make sense....
Na nyinyi hamtaki kuchukua changamoto hiyo, ama vipi?Ishu hapa ni kwamba mnajivuna kwamba simba imeingia makundi,ndipo Hoja inakuja kwamba kwani makundi kitu gani? Yanga ndio timu ya kwanza kuingia huko. So mkitaka kuongea zaidi vukeni kwenye hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app