Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2021
Posts
1,477
Reaction score
3,642
Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
 
Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye weledi wa intelijensia baada ya mashirika ya UsA. Russia Mosaad ,M16 iko kwenye top 10.
Na Iran akijibu ajue kabisa kuwa USA na wahuni wenzake a.k.a NATO walikuwa wanasubiria hilo akumbuke Russia bado anamkamua jipu Ukraine hatakuja. China ni joka la Kibisa ambaye anavizia watu watwangane yeye aongize kiuchumi hatajihusisha popote uchumi wake usiyumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…