Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchambuzi kutoka moro kaskazini unachukulia vita kama kula chapati pakistani ipi inachukuliwa wiki moja?Hakuna aliyekufa ila huyu jamaa pichani ndo aliyepata majeraha
Iran ikiamua kuichapa Pakistan nawa akikishia ndani ya wiki tu Pakistan itachakazwa vibayae mno
View attachment 2875136
India imewapiga Pakistan mara mbili, na India imefanya Bangladesh ijitenge kutoka PakistanKatika nchi za kiislam wabishi basi ni pakistan wamewahi wabonda india mpakani mwao
iran hana uwezo kumpiga pakistan, pakistan anaogopwa hadi na India ambayo ina nguvu nyingi. na pakistan ana nukes pia. iran pia anajua akiingia vitani na pakistani tu uingereza ambao wapo karibu sana na pakistan itashawishi magharibi kuingia kutoa msaada na iran itateketea.Sema Pakistan wabishi, ngoja tusubiri response ya Iran.
Wametumia ndege, askari au ballistic missiles kufanya mashambulizi?
Pakistan hii hii unayo iona weweMchambuzi kutoka moro kaskazini unachukulia vita kama kula chapati pakistani ipi inachukuliwa wiki moja?
Hilo sahau kabisa katika mataifa ya kiislam yaliyo serious na nchi yao ambao hawana makelele namba 1 ni pakistan, Iran hawezi rusha kombora tena itaishia hivihivi maana akiendeleza atasababisha vita na iran anamaadui nchi za magharibi karibia zotePakistan hii hii unayo iona wewe
Kama marekani inaiogopa Iran Pakistan anaweza kufanya nini?iran hana uwezo kumpiga pakistan, pakistan anaogopwa hadi na India ambayo ina nguvu nyingi. na pakistan ana nukes pia. iran pia anajua akiingia vitani na pakistani tu uingereza ambao wapo karibu sana na pakistan itashawishi magharibi kuingia kutoa msaada na iran itateketea.
Lakini pia Pakistan aliishinda India na kufanikiwa kujitenga kutoka India.India imewapiga Pakistan mara mbili, na India imefanya Bangladesh ijitenge kutoka Pakistan
Pakistan hawajawahi kufurukuta mbele ya India.
Pakistan nayo ijue ikiingia vitani basi India itachukua nafasi hiyo kuimaliza kabisa.Pakistan kwa sasa haina cha kupoteza na huwa inatafuta vijisababu vya vita endapo uchumi unaielemea. Huwa isipokuwa na hela ndio inaingia vitani kufanya distraction ya public na rally ya raia sababu wakiwa vitani wanaacha hata upinzani wanasitisha tofauti zao wanaunga mkono jeshi hivyo kiongozi anayekuwepo anakuwa na uhakika wa kusalia for the meantime.
Viongozi wakuu wote wa Pakistan ni majenerali, huwa hawana akili ya kung'amua mambo kisiasa na kidiplomasia. Nguvu nyingi, akili kidogo. Pakistan unaweza kuta mkuu wa mamlaka ya madawa na vifaatiba ni Major General mstaafu alafu jeshini alisomea mizinga hajui lolote kuhusu madawa.
Si vigumu Iran na Pakistan kupigana, wote wabishi na hawapendi kuonekana wanyonge. Na vita haiwezi kuwa rahisi pamoja na uchumi mbovu wa Pakistan, ni nchi inayojiandaa siku zote kupigana na India hivyo haiko kizembe kijeshi.
Anayeabudiwa ni Mungu mmoja, hana mshirika na hajazaa. Lakini hayapendani yanachukiana na kuuana yenyewe kwa yenyewe.
Uimlaani Israel utalaaniwa. Na UKIMBARIKI Israel UTABARIKIWA.
FaizaFoxy Malaria 2 Ritz kahtaan THE BIG SHOW
Pakistan ina silaha nyingi sana Tena sana ila wanajeshi wake wengi hawana uzoefu na vita si unaona pale Yemen majenerali walio ongoza vita dhidi ya waasi wa houth walikuwa wapakistani lakini bado mbinu zao hazikufua dafu mbele ya waasi wa houthPakistan kwa sasa haina cha kupoteza na huwa inatafuta vijisababu vya vita endapo uchumi unaielemea. Huwa isipokuwa na hela ndio inaingia vitani kufanya distraction ya public na rally ya raia sababu wakiwa vitani wanaacha hata upinzani wanasitisha tofauti zao wanaunga mkono jeshi hivyo kiongozi anayekuwepo anakuwa na uhakika wa kusalia for the meantime.
Viongozi wakuu wote wa Pakistan ni majenerali, huwa hawana akili ya kung'amua mambo kisiasa na kidiplomasia. Nguvu nyingi, akili kidogo. Pakistan unaweza kuta mkuu wa mamlaka ya madawa na vifaatiba ni Major General mstaafu alafu jeshini alisomea mizinga hajui lolote kuhusu madawa.
Si vigumu Iran na Pakistan kupigana, wote wabishi na hawapendi kuonekana wanyonge. Na vita haiwezi kuwa rahisi pamoja na uchumi mbovu wa Pakistan, ni nchi inayojiandaa siku zote kupigana na India hivyo haiko kizembe kijeshi.
Hata india inaisubiri Pakistan ijichanganye achukue nafasi hiyo kuimaliza.Iran awe mpole tu, hapo marekani hayupo mbali ni anamvizia muda mrefu sana.
Ila huu mwaka huu na mingine inayokuja, nadhani wemgi uvumilivu utawashinda, zitapigwa tu.