PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan.
Source:
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747832880884072802?t=XSOnUi4rscmMxU2leqIvIA&s=19
Nilisema Iran wasubiri majibu kutoka Pakistan, maana Pakistan siyo watu wa kusema watatafuta kupooza mambo sababu ya kidiplomasia wakati hawana faida na hiyo nchi na zaidi kisasi chao dhidi ya hiyo mchi kitamhakikishia marafiki na uungwaji mkono kutoka kwa washirika ambao mahusiano yao si ya kiaminiana kivile.
Kama kawaida wale wavaa vilemba wakaoinga huku wakimshangilia Iran wakimtosa Pakistan ambaye huko kwa Wapalestina walikuwa naye.