PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo?

through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?

je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
 
Safi sana hii, hakuna kulala hadi kaburu mweusi CCM anyooshe mikono. Wao wana fedha na bunduki sisi tuna Mungu.
 
Naona mwamba anayarudi, ccm wamejificha shimoni, lisu anakusanya
Tulia upakwe mafuta we chawa.
No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…