KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

Kitakachotokea kwenye uchaguzi hutaamini mkuu, watu wamechoka, Mapesa ya rushwa yaendelee kusambazwa lakini kula ni machame, kura ni ikungi
Gentleman,
mie ninaamini Mungu, mtazamo na maoni yangu pekee,

siamini ushirikina mwingine wowote kwenye lolote wala ramli za kichawi.

Naamini ukweli na uhakika.

Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hakuna mahali anaenda gentleman mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa 🐒
 
wenyeviti wa kanda zote 10 za kiutawala za Chadema hawataki na wamekataa kuongozwa na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaishi nje ya nchi.

na wamewaelekeza wenyeviti wa mikoa, wilaya na kata, kuhakikisha kwamba siku ya uchaguzi wajumbe wote wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wanamchagua Freeman Aikaeli Mbowe kua mwenyekiti wa Chadema Taifa,

Na kumkataa katu katu dalali wa ukoloni mambo leo, kibaraka na omba omba wa kimataifa anaelazimisha kula chakula kwa chairman wa Chadema Taifa kila siku 🐒
Ccm imejaa mapumbavu likiwemo hili huku mamayenu akiuza bandari na mbiga za wanyama mtakuja mshtukie kibara wa warabu kamaliza kila kitu ndio akili zitawarudi nyie nguruwe wa ccm mliogeuka mashabiki ya makengeza Ali kamenei ayatollah 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛
 
wakati huo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atakua ng'ambo kuomba msaada wa kijeshi na kisheria huko ICC 🤣
Wakati huo kibaraka wa warabu atakuwa buja halifa akishangilia bendera kuonekana huko Kwa hongo ya bandari🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛
 
Gentleman,
mie ninaamini Mungu, mtazamo na maoni yangu pekee,

siamini ushirikina mwingine wowote kwenye lolote wala ramli za kichawi.

Naamini ukweli na uhakika.

Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hakuna mahali anaenda gentleman mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa 🐒
Kibaraka wa warabu waliouza Babu zetu utumwani mwisho wake 2025 akimbilie Kwa wajomba zake dpworld.
 
Back
Top Bottom