Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Kitakachotokea kwenye uchaguzi hutaamini mkuu, watu wamechoka, Mapesa ya rushwa yaendelee kusambazwa lakini kula ni machame, kura ni ikungi
mie ninaamini Mungu, mtazamo na maoni yangu pekee,
siamini ushirikina mwingine wowote kwenye lolote wala ramli za kichawi.
Naamini ukweli na uhakika.
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hakuna mahali anaenda gentleman mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa 🐒