Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Zitto kabwe ana ushamba wa KIHA hana malengo makubwa na chama chake zaidi ya kusubiria ruzuku kutoka serikalini.
Huwezi kuwa kiongozi ukatoa matamshi kama Yale tena kwa hasira vile.....so ACT wazalendo yake aichemshe anywe supu....hatupendi ujinga sisi
 
Kanda ya ziwa gani? Acha uwongo hapa. Wale Wasukuma original siyo wabaguzi Wala siyo wakabila, ni watu wako very fair.

Tatizo liko kwa zile kabila ndogo ndogo pembeni ya Wasukuma kama wazinza, warongo, wasubi, wazilankende na wayango. Hizi vikabila ndiyo vinamshabikia sana Magufuli. Nahisi hata huyu Nyankurungu2020 anatoka kwenye jamii hiyo.
In short kauli ya zitto kabwe ilikuwa ya kuudhi sana.....amekosa ushawishi hata kwa hao wasukuma original unaowasemea.
 
Wewe ni mjinga endelea kujifariji kipindi hiki hali ni tofauti na haijawahi kuwako Sasa endelea na ngonjera zako
Siasa ni numbers mkuu kama JPM alikuwepo na Geita Mjini mlishinda 2020 kwa 60% na upinzani 40% !! Ndio unajiaminisha ni ngome ya CCM??

Nakumbuka hata Lissu mlimtishia asikanyage Chato sijui atachinjwa ila matokeo yakawa hivi.
 
Kwa asili watu wa kanda ya ziwa si wakabila (kwa maana ya ubaguzi) ila dhihaka iliyofanywa na inayoendelea kufanywa juu yao ndio inaowafikirisha zaidi

Upinzani uliungwa mkono miaka hiyo, leo nao hawakubiliki kama CCM tuu; haiitaji PhD kuelewa jambo hili, hivi watu wanadhihakiwa kutokana na asili zao (mfano wanaitwa wachunga ng'ombe, wakuja, washamba), wanatukaniwa mtu waliemheshimu, mpenda na kumwamini (JPM) then watawapendaje wanaofanya hivyo?

Usifikiri ni Geita tuu, ni pamoja na Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu na Shinyanga

Tabora baadhi ya sehemu

Kwa Dar kuna Vingunguti, Tabata, Kinyerezi, Ulongoni, Ukonga, Kitunda, Gongo la Mboto, Chanika, nk.

Na usifikiri ni wasukuma tuu, ni pamoja na watu kutoka Mara (wakurya), wakerewe, wahaya, nk.
Hivi kuna mtu alimshambulia JPM kama Lissu? Mbona kampeni zake zilipata reception nzuri Kanda ya ziwa kuliko hata Dar Es Salaam??

Imagine Geita Mjini CCM ikashinda kwa 60% pekee!! So hizi ni propaganda tu ila kwa ground wasukuma miaka mingi sana wamekuja wakisupport upinzani.

Kuhusu wakurya na wahaya si kweli, Mara ndio ilikua na wabunge wengi wa upinzani kuliko mikoa yote Kanda ya ziwa. Kumbuka Bukoba tulikua na halmshauri na kama sio visa vya 2020 majimbo tungebeba sio chini ya 3 Kagera.

Sehemu ambayo ni CCM 100% labda Tabora tu ndio wapo usingizini Bado. Ila come 2025 Maeneo kama Bukombe, Bariadi, Geita Mjini, Shinyanga Mjini, Kahama, Meatu, n.k yanaangukia upinzani.
 
Kifo cha Magufuli kimeiumiza kanda ya ziwa sasa yeyeto anaye mdhihaki au kumponda Magufuli lazima achukiwe

Sio Zito na chama chake pekee, hata Samia, Mbowe wanachukiwa balaa

Kikipatikana chama na kiongozi anayejua uchungu wa kufiwa kwa kuwafariji kanda ya ziwa na kutowadhihaki atabeba kura zote
Kanda ya Ziwa ni ngome ya CHADEMA 2020 Magufuli alishindwa mpaka akakodi watu wa kumpiga mawe Lissu
 
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki.
Mkuu Nyankurungu2020 , kama ulidhani kukubalika kwa mwanasiasa ni kwa watu wa vijiweni!, endelea kufikiri hivyo.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto
Kama unadhani kuchagulika ni mvuto,
endelea kudhani hivyo Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu
Zitto anapoteza Muda kabisa.
Maadam wewe sii Zitto , kama anapoteza muda, si no muda wake?. Muda wa Zitto, wewe unakuhusu nini?!. Unless kama ni wewe ndio unamlisha na kumvisha, nakushauri just mind your own business!.

Kwa wasiomfahamu Zitto, kati ya viongozi wote wa upinzani Tanzania, waliopo kwa sasa, Zitto ndie the one and only anayeweza kushika wadhifa wa urais wa JMT na nchi ikatawalika, tatizo lake ni chama chake cha ACT bado kichanga Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
P
 
In short kauli ya zitto kabwe ilikuwa ya kuudhi sana.....amekosa ushawishi hata kwa hao wasukuma original unaowasemea.
Wasukuma hawana Hilo hata kidogo. Wanhekuwa na ukabila kama Wachagga au Wahaya basi mwaka 2000 alipogombea John Momose Cheyo urais kupitia UDP, basi àngkuwa Rais.
Kama humuewi Zitto Kabwe ni wewe na familia yako
 
Mkuu Nyankurungu2020 , kama ulidhani kukubalika kwa mwanasiasa ni kwa watu wa vijiweni!, endelea kufikiri hivyo.

Kama unadhani kuchagulika ni mvuto,
endelea kudhani hivyo Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Maadam wewe sii Zitto , kama anapoteza muda, si no muda wake?. Muda wa Zitto, wewe unakuhusu nini?!. Unless kama ni wewe ndio unamlisha na kumvisha, nakushauri just mind your own business!.

Kwa wasiomfahamu Zitto, kati ya viongozi wote wa upinzani Tanzania, waliopo kwa sasa, Zitto ndie the one and only anayeweza kushika wadhifa wa urais wa JMT na nchi ikatawalika, tatizo lake ni chama chake cha ACT bado kichanga Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
P
Ahaaa, ngoja nicheke. Zitto akipoteza muda sisi watu wa kanda ya Ziwa tunafurahi.

Unadai Zitto anaweza kushika nafasi ya rais wa JMT? Labda haupo sawa kiakili na kifikra.

Nashangaa kwa mwandishi wa habari kama wewe kutokubali nguvu ya vijiwe. Hujui kuwa hata mikakati ya kupata viongozi huanzia vijiweni?

Unakijua kijiwe cha Mwanza hotel? Pizzeria na vingine maarufu hapa Mza? Au unabip tu.

Hivi kauli aliyoitoa huyo jamaa yako ina afya kwake kisiasa huku Kanda ya ziwa?

Acha Zitto tu hata mkuu wa kaya atakiona 2025 kama hujui
 
Hivi kuna mtu alishambulia kwa kashfa kama Lowasa? mbona badae watu walideki barabara na kuitikisa ccm kwa mtikisiko mkubwa, hizo kelele kwa Zito zitapita maana huwezi mzuia mpiga domo
 
Ahaaa, ngoja nicheke. Zitto akipoteza muda sisi watu wa kanda ya Ziwa tunafurahi.

Unadai Zitto anaweza kushika nafasi ya rais wa JMT? Labda haupo sawa kiakili na kifikra.

Nashangaa kwa mwandishi wa habari kama wewe kutokubali nguvu ya vijiwe. Hujui kuwa hata mikakati ya kupata viongozi huanzia vijiweni?

Unakijua kijiwe cha Mwanza hotel? Pizzeria na vingine maarufu hapa Mza? Au unabip tu.

Hivi kauli aliyoitoa huyo jamaa yako ina afya kwake kisiasa huku Kanda ya ziwa?

Acha Zitto tu hata mkuu wa kaya atakiona 2025 kama hujui
Huo ujinga maliza huko na wavuta bangi wenzio wa vijiwe vya Mwanza Hotel na Pizzeria. Sana sana kawadanganye wanao kama unao.

Yaani wewe punguani umathubutu mpaka kumponda Pascal Mayalla ambaye siyo kwamba ni mwandishi mbobezi bali pia ni platinum member na yuko verified humu.

Acha bangi za kuvutia chooni Nyankurungu2020, toa heshima kwa wakongwe. Mara nyingine usome tu ili uelewe
 
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.

Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇View attachment 2208901
ACT na TLP mzazi wao mmoja
 
Back
Top Bottom