sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Yeye zitto aliongea kwa ubinafsi wake wa kutopata fursa alizozizoea enzi za JK.Acha kuwasingizia watu wa kanda ya ziwa mambo yako ya hovyo! Alichokisema Zitto kuhusu uovu wa Magufuli ni kweli tupu. Tunataka wapatikane akina Zitto wengi ili kuweka wazi uovu wa Utawala wa hayati Magufuli ili nchi yetu isije ikapata kiongozi muovu wa aina hiyo tena!
Nakumbuka wakati JK anampisha Magu siku ya hafla ikulu Zitto alikuwepo na JK akamsogeza kwa Magu. Hata upinzani walipotoka bungeni Zitto alikuwepo. Ila Magu hakutaka ushirikiano na Zitto sababu alimjua
1. Mbinafsi.
2. Hayupo kwa maslahi ya wengi au taifa
3. Mnafiki
4. Haaminiki
5. Mbaguzi.
6. Muongo