Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Zitto kabwe ana ushamba wa KIHA hana malengo makubwa na chama chake zaidi ya kusubiria ruzuku kutoka serikalini.
Huwezi kuwa kiongozi ukatoa matamshi kama Yale tena kwa hasira vile.....so ACT wazalendo yake aichemshe anywe supu....hatupendi ujinga sisi
Acha kuwafananisha Waha na huyo mbembe wa Kongo Zitto siyo muha ni mbembe
 
Watu wa vijiweni ni wapiga domo tuu na sio wapiga kura!.

Wewe ndio waulize hao wanakijiwe wa Mwanza Hotel, Pizzeria, Isamilo,Kirumba, Pascal Mayalla ni nani, watakueleza, tena tafuta Wazee wa Mwanza, uwaulize Mzee Andrew Mayalla ni nani kwa jiji la Mwanza na alilifanyia nini, watakueleza!.

Ina maana kubwa sana, kwake. Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa managing political diversity, kuvumilia mawazo usiokubaliana nayo, mtu akifa ndio mwisho wa habari yake, hata na wewe, kama unampenda sana, mfuate, ukalale nae pale alipolala.

2025 utashangaa sana!.
P
Wewe ni muandishi wa habari kanjanja,Kenge wewe.Njoo Mwanza useme usng@ wako uone.Baki huko huko uliko unendelee kujipendekeza kama mke mdogo.Uzuri kanda ya ziwa haina mazoea kamuulize Diaro mpaka leo analalama,muulize masha atakwambia,muulize kageshike atakwambia,muulize mzee Tysoni atakwambia.Nafuu iliyokuwepo kanda ya ziwa ni kwasababu ya Magufuri.Kanda ya ziwa sio watu wa kujipendekeza kuanzia Tabora,Shunyanga,Mara,Kagera,Geita,Mwanza na Kigoma ikwemo sasa wewe unaejifnya unaijua Mwanza vizuri njoo ugombee baada ya uchaguzi utayamaza milele.
 
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.

Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇View attachment 2208901
Mimi wa Kanda ya ziwa na ninamtaka sana Zzk na ACT . Wewe ndiyo humtaki na kasakosi kenu
 
Back
Top Bottom