Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Naunga mkono mchango huu wa Paskali!

"Maadam wewe sii Zitto , kama anapoteza muda, si no muda wake?. Muda wa Zitto, wewe unakuhusu nini?!. Unless kama ni wewe ndio unamlisha na kumvisha, nakushauri just mind your own business!.

Kwa wasiomfahamu Zitto, kati ya viongozi wote wa upinzani Tanzania, waliopo kwa sasa, Zitto ndie the one and only anayeweza kushika wadhifa wa urais wa JMT na nchi ikatawalika, tatizo lake ni chama chake cha ACT bado kichanga"
 
Hivi kuna mtu alimshambulia JPM kama Lissu? Mbona kampeni zake zilipata reception nzuri Kanda ya ziwa kuliko hata Dar Es Salaam??

Imagine Geita Mjini CCM ikashinda kwa 60% pekee!! So hizi ni propaganda tu ila kwa ground wasukuma miaka mingi sana wamekuja wakisupport upinzani.

Kuhusu wakurya na wahaya si kweli, Mara ndio ilikua na wabunge wengi wa upinzani kuliko mikoa yote Kanda ya ziwa. Kumbuka Bukoba tulikua na halmshauri na kama sio visa vya 2020 majimbo tungebeba sio chini ya 3 Kagera.

Sehemu ambayo ni CCM 100% labda Tabora tu ndio wapo usingizini Bado. Ila come 2025 Maeneo kama Bukombe, Bariadi, Geita Mjini, Shinyanga Mjini, Kahama, Meatu, n.k yanaangukia upinzani.
Nadhani umeisahau Nyamagana Mwanza pale 2010 ilishinda Chadema ila 2015 na 2020 japo mlishinda ila haki yenu iliibiwa na yule bwana mdogo yupo pale kwasababu ya Mkapa na Magufuli.
 
Assignment ya nini? Mwaka 2010 jakaya alikula kichapo mpaka akasingizia waraka wa kanisa katoriki.
Mlaji ni mla Leo mla jana Kala nini?. Usilete ya JK ya 2010, hayo ni ya kale sana na hayanuki!, sikilizia 2025 SA 💯 atakavyo kinukisha hiyo 2025.
Bila maujanja ya wakurugenzi CCM ilipoteana.
Hayo maujanja ni tactics, the end justifies the means, the winner is the winner and the winner takes it all.
Diallo ana siri nyingi sana.
Atakufa nazo hizo siri zake na anaelekea ukingoni, CCM Mwanza tunaleta damu changa!.
P
 
Labda kanda ya Ziwa Makunduchi
Wewe unajulikana kwa unazi wako kwa siasa za hovyo za Mwendazake!

Halafu,you sound like Luhaga Mpina. Una chuki na utawala wa raisi Samia kama kwamba yeye ndiye alikunyima uwaziri. Ilihali mwendazake ndie alikunyima uwaziri baada ya kuona hukubariki huko Meatu.

Lakini pia,mwendazake alisema wewe ni kichaa kama yeye. Kwa sasa, hatutaki kupata viongozi vichaa. Si mmeanzisha chama chenu cha vichaa sijui kinaitwa Umoja. Subirini muone majibu ya watanzania watakavyokikataa hicho chama cha wauwaji na watekaji.
 
Mlaji ni mla Leo mla jana Kala nini?. Usilete ya JK ya 2010, hayo ni ya kale sana na hayanuki!, sikilizia 2025 SA 💯 atakavyo kinukisha hiyo 2025.

Hayo maujanja ni tactics, the end justifies the means, the winner is the winner and the winner takes it all.

Atakufa nazo hizo siri zake na anaelekea ukingoni, CCM Mwanza tunaleta damu changa!.
P
Ahaaa. Nakuambia hivi kilichotokea 2010 kwa CCM kinakwenda kuwa worse zaidi.

2010 walikuwepo akina mzee Mkapa waliweza kuintervene na kupoza hali.

Maujanja ya wakurugenzi yalishawachosha watanzania na huenda 2025 kukawa na mabadiliko makubwa sana ambayo yataongeza anguko la CCM kanda ya ziwa.

Hawezi kufa nazo hizo siri. Amemza kudisclose mambo mengi. Ngoja niishie hapa.
 
Maadam wino upo, tusiendelee kuandika mate wakati wino upo!.
P
 
Wewe nimekushauri jipange 2025 ugombee tena.

Nigombee nina hata kadi ya chama chochote? Acha Zito atambe huko kanda ya ziwa, dhalimu hakuwa na haki miliki ya huko, labda kwa propaganda kwenye mazoba.
 
Nigombee nina hata kadi ya chama chochote? Acha Zito atambe huko kanda ya ziwa, dhalimu hakuwa na haki miliki ya huko, labda kwa propaganda kwenye mazoba.
Ahaaaa. Zitto atambe kand ya ziwa?
 
Sisi kama kanda ya ziwa tuna subiri UMOJA PARTY wasajiliwe na Msajili wa Vyama vya siasa tumalize kazi yetu😂😂
Kanda ya ziwa haijawahi kuibebaba CCM hata kidogo
2015
KANDA YA ZIWA
JPM LOWASSA
53% 47 %
KANDA YA KASKAZINI
JPM LOWASSA
7 % 93 %
KANDA YA KATI
JPM LOWASSA
92% 8 %

DAR
JPM LOWASSA
51 % 49 %
UNGUJA
JPM LOWASSA
96 % 4 %
PEMBA
JPM LOWASSA
2 98
 
Kifo cha Magufuli kimeiumiza kanda ya ziwa sasa yeyeto anaye mdhihaki au kumponda Magufuli lazima achukiwe

Sio Zito na chama chake pekee, hata Samia, Mbowe wanachukiwa balaa

Kikipatikana chama na kiongozi anayejua uchungu wa kufiwa kwa kuwafariji kanda ya ziwa na kutowadhihaki atabeba kura zote
Wewe kwani ni mwakilishi wa kanda ya ziwa kuwasemea watu wote wa Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita na Kagera.
 
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.

Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇View attachment 2208901
Lete sample yako na procedures zake?
Uliwahoji wangapi?
Wenye mlengo gani, umri gani, elimu gani, wanaoishi wapi? Walifanya kazi gani na uliwapataje?
Uliwauliza maswali gani? Lengo lako nini?
Wewe upo mlengo gani?
 
Mtu huna elimu alafu unasumbua wenye elimu
 
Back
Top Bottom