Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
In short kauli ya zitto kabwe ilikuwa ya kuudhi sana.....amekosa ushawishi hata kwa hao wasukuma original unaowasemea.Kanda ya ziwa gani? Acha uwongo hapa. Wale Wasukuma original siyo wabaguzi Wala siyo wakabila, ni watu wako very fair.
Tatizo liko kwa zile kabila ndogo ndogo pembeni ya Wasukuma kama wazinza, warongo, wasubi, wazilankende na wayango. Hizi vikabila ndiyo vinamshabikia sana Magufuli. Nahisi hata huyu Nyankurungu2020 anatoka kwenye jamii hiyo.
Siasa ni numbers mkuu kama JPM alikuwepo na Geita Mjini mlishinda 2020 kwa 60% na upinzani 40% !! Ndio unajiaminisha ni ngome ya CCM??Wewe ni mjinga endelea kujifariji kipindi hiki hali ni tofauti na haijawahi kuwako Sasa endelea na ngonjera zako
Hivi kuna mtu alimshambulia JPM kama Lissu? Mbona kampeni zake zilipata reception nzuri Kanda ya ziwa kuliko hata Dar Es Salaam??Kwa asili watu wa kanda ya ziwa si wakabila (kwa maana ya ubaguzi) ila dhihaka iliyofanywa na inayoendelea kufanywa juu yao ndio inaowafikirisha zaidi
Upinzani uliungwa mkono miaka hiyo, leo nao hawakubiliki kama CCM tuu; haiitaji PhD kuelewa jambo hili, hivi watu wanadhihakiwa kutokana na asili zao (mfano wanaitwa wachunga ng'ombe, wakuja, washamba), wanatukaniwa mtu waliemheshimu, mpenda na kumwamini (JPM) then watawapendaje wanaofanya hivyo?
Usifikiri ni Geita tuu, ni pamoja na Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu na Shinyanga
Tabora baadhi ya sehemu
Kwa Dar kuna Vingunguti, Tabata, Kinyerezi, Ulongoni, Ukonga, Kitunda, Gongo la Mboto, Chanika, nk.
Na usifikiri ni wasukuma tuu, ni pamoja na watu kutoka Mara (wakurya), wakerewe, wahaya, nk.
Kanda ya Ziwa ni ngome ya CHADEMA 2020 Magufuli alishindwa mpaka akakodi watu wa kumpiga mawe LissuKifo cha Magufuli kimeiumiza kanda ya ziwa sasa yeyeto anaye mdhihaki au kumponda Magufuli lazima achukiwe
Sio Zito na chama chake pekee, hata Samia, Mbowe wanachukiwa balaa
Kikipatikana chama na kiongozi anayejua uchungu wa kufiwa kwa kuwafariji kanda ya ziwa na kutowadhihaki atabeba kura zote
Wamesahau pale chato ilibidi wakodi watu wa kupiga maweMbowe anachukiwa kwa lipi?. Mtu alikiwa gerzani ametoka juzi. Msitengeneze Tanzania ya ukabila. Halafu usiseme Kanda ya ziwa Seema Geita hasa chato. Maana usisahau upinzani wanaungwa mkono Sana Kanda hiyo.
Mkuu Nyankurungu2020 , kama ulidhani kukubalika kwa mwanasiasa ni kwa watu wa vijiweni!, endelea kufikiri hivyo.Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki.
Kama unadhani kuchagulika ni mvuto,Angalia hata ziara zao hazina mvuto
Maadam wewe sii Zitto , kama anapoteza muda, si no muda wake?. Muda wa Zitto, wewe unakuhusu nini?!. Unless kama ni wewe ndio unamlisha na kumvisha, nakushauri just mind your own business!.Zitto anapoteza Muda kabisa.
Wewe ndio msemaji wa kanda ya ziwa?Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇View attachment 2208901
Wasukuma hawana Hilo hata kidogo. Wanhekuwa na ukabila kama Wachagga au Wahaya basi mwaka 2000 alipogombea John Momose Cheyo urais kupitia UDP, basi àngkuwa Rais.In short kauli ya zitto kabwe ilikuwa ya kuudhi sana.....amekosa ushawishi hata kwa hao wasukuma original unaowasemea.
Ahaaa, ngoja nicheke. Zitto akipoteza muda sisi watu wa kanda ya Ziwa tunafurahi.Mkuu Nyankurungu2020 , kama ulidhani kukubalika kwa mwanasiasa ni kwa watu wa vijiweni!, endelea kufikiri hivyo.
Kama unadhani kuchagulika ni mvuto,
endelea kudhani hivyo Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu
Maadam wewe sii Zitto , kama anapoteza muda, si no muda wake?. Muda wa Zitto, wewe unakuhusu nini?!. Unless kama ni wewe ndio unamlisha na kumvisha, nakushauri just mind your own business!.
Kwa wasiomfahamu Zitto, kati ya viongozi wote wa upinzani Tanzania, waliopo kwa sasa, Zitto ndie the one and only anayeweza kushika wadhifa wa urais wa JMT na nchi ikatawalika, tatizo lake ni chama chake cha ACT bado kichanga Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
P
Huyu Mzilankende anayeitwa Nyankurungu2020 siyo kwamba ni mpumbavu bali huyu ni msukule tu wa MagufuliWewe ndio msemaji wa kanda ya ziwa?
Hivi kuna mtu alishambulia kwa kashfa kama Lowasa? mbona badae watu walideki barabara na kuitikisa ccm kwa mtikisiko mkubwa, hizo kelele kwa Zito zitapita maana huwezi mzuia mpiga domoAhaaa, ngoja nicheke. Zitto akipoteza muda sisi watu wa kanda ya Ziwa tunafurahi.
Unadai Zitto anaweza kushika nafasi ya rais wa JMT? Labda haupo sawa kiakili na kifikra.
Nashangaa kwa mwandishi wa habari kama wewe kutokubali nguvu ya vijiwe. Hujui kuwa hata mikakati ya kupata viongozi huanzia vijiweni?
Unakijua kijiwe cha Mwanza hotel? Pizzeria na vingine maarufu hapa Mza? Au unabip tu.
Hivi kauli aliyoitoa huyo jamaa yako ina afya kwake kisiasa huku Kanda ya ziwa?
Acha Zitto tu hata mkuu wa kaya atakiona 2025 kama hujui
Ni mpuuzi sana yaani amekuwa msemaji wa kujitoleaHuyu Mzilankende anayeitwa Nyankurungu2020 siyo kwamba ni mpumbavu bali huyu ni msukule tu wa Magufuli
Huo ujinga maliza huko na wavuta bangi wenzio wa vijiwe vya Mwanza Hotel na Pizzeria. Sana sana kawadanganye wanao kama unao.Ahaaa, ngoja nicheke. Zitto akipoteza muda sisi watu wa kanda ya Ziwa tunafurahi.
Unadai Zitto anaweza kushika nafasi ya rais wa JMT? Labda haupo sawa kiakili na kifikra.
Nashangaa kwa mwandishi wa habari kama wewe kutokubali nguvu ya vijiwe. Hujui kuwa hata mikakati ya kupata viongozi huanzia vijiweni?
Unakijua kijiwe cha Mwanza hotel? Pizzeria na vingine maarufu hapa Mza? Au unabip tu.
Hivi kauli aliyoitoa huyo jamaa yako ina afya kwake kisiasa huku Kanda ya ziwa?
Acha Zitto tu hata mkuu wa kaya atakiona 2025 kama hujui
Aione Pascal Mayalla kwenye failiTunasemaje; Kanda ya Ziwa tunawasubiri wote wanaompondea Magufuli kuanzia Samia, Msoga Gang, Zitto na ACT yake, CHADEMA na wengineo wote. Hivi UP inasajiliwa lini?
ACT na TLP mzazi wao mmojaNimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇View attachment 2208901
Asikudanganye mtu, Zanzibar hakuna ACT wazalendo. Huku watu walimfuata Maalim Seif tuu.Siyo Kanda ya Ziwa tu, ACT hata Kigoma kwao imekufa kabisa imebaki Zanzibar. Na Zitto anajikomba ili 2025 aachiwe majimbo ya Zanzibar maana ndicho alichobakiza.
Nakubaliana na wewe kabisaAsikudanganye mtu, Zanzibar hakuna ACT wazalendo. Huku watu walimfuata Maalim Seif tuu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mbowe amekuwa akimsingizia hayati Magufuli vitu vya hovyo Sana ndiyo maana anachukiwa