Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

Yeye zitto aliongea kwa ubinafsi wake wa kutopata fursa alizozizoea enzi za JK.

Nakumbuka wakati JK anampisha Magu siku ya hafla ikulu Zitto alikuwepo na JK akamsogeza kwa Magu. Hata upinzani walipotoka bungeni Zitto alikuwepo. Ila Magu hakutaka ushirikiano na Zitto sababu alimjua
1. Mbinafsi.
2. Hayupo kwa maslahi ya wengi au taifa
3. Mnafiki
4. Haaminiki
5. Mbaguzi.
6. Muongo
 
Sasa wewe kama hujui nguvu ya vijiwe subiri. Kama hupajui Pizzeria na Mwanza hotel basi muulize Lawrence Masha.

Sijamponda nampa ukweli halisi.

Mimi sivuti bhangi. Wala sivuti sigara.

I do tell the truth.

2025 sio mbali
 
Mnajisumbua mburukenge ninyi!
 
Nyie ni mangosha, washamba, walugaluga ushamba wenu unawaponza unakuta jitu limesoma ila bado linabeba begi la nguo za kubadili kwenda kupiga picha na lile sanamu la samaki pale round about
 
Wasukuma hawana Hilo hata kidogo. Wanhekuwa na ukabila kama Wachagga au Wahaya basi mwaka 2000 alipogombea John Momose Cheyo urais kupitia UDP, basi àngkuwa Rais.
Kama humuewi Zitto Kabwe ni wewe na familia yako
Zitto hakuwa na sababu za kutoa kauli kama ile. Yeye ni kiongozi asiligawe taifa kwa mkate wa siku moja.....mambo mengine yataibuka na kumharibia hata miaka kadhaa mbele. Hakupaswa kuwaza unbali wa pua lake. Alipaswa kuficha hisia maana jina LA magufuli ni baya mitandaoni lakini mitaani ni turufu ya kura.
 
Nashangaa kwa mwandishi wa habari kama wewe kutokubali nguvu ya vijiwe. Hujui kuwa hata mikakati ya kupata viongozi huanzia vijiweni?
Watu wa vijiweni ni wapiga domo tuu na sio wapiga kura!.
Unakijua kijiwe cha Mwanza hotel? Pizzeria na vingine maarufu hapa Mza? Au unabip tu.
Wewe ndio waulize hao wanakijiwe wa Mwanza Hotel, Pizzeria, Isamilo,Kirumba, Pascal Mayalla ni nani, watakueleza, tena tafuta Wazee wa Mwanza, uwaulize Mzee Andrew Mayalla ni nani kwa jiji la Mwanza na alilifanyia nini, watakueleza!.
Hivi kauli aliyoitoa huyo jamaa yako ina afya kwake kisiasa huku Kanda ya ziwa?.
Ina maana kubwa sana, kwake. Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa managing political diversity, kuvumilia mawazo usiokubaliana nayo, mtu akifa ndio mwisho wa habari yake, hata na wewe, kama unampenda sana, mfuate, ukalale nae pale alipolala.
Acha Zitto tu hata mkuu wa kaya atakiona 2025 kama hujui
2025 utashangaa sana!.
P
 
Sasa wewe kama hujui nguvu ya vijiwe subiri. Kama hupajui Pizzeria na Mwanza hotel basi muulize Lawrence Masha.

Sijamponda nampa ukweli halisi.

Mimi sivuti bhangi. Wala sivuti sigara.

I do tell the truth.

2025 sio mbali

Vijiwe vina nguvu, lakini hivyo vijiwe sio vya watetezi wa yule dhalimu.
 
Haya naona unakariri na kuishi maisha kusadikika.

Nitauliza hayo maswali yangu kwa muda wangu.

Lakini nataka nikuambie kweli kabisa Zitto amewachafua watu wa ziwa.

Kama mtu akifa ndio mwisho wa habari yake basi hata Julius Nyerere tusingeyaenzi mazuri aliyofanya.

Acha kudanganya watu.
 
Nakupa assignment moja tuu utaifanya November 2025, utaangalia % ya kura sa 💯, Kanda ya Ziwa.
P
Assignment ya nini? Mwaka 2010 jakaya alikula kichapo mpaka akasingizia waraka wa kanisa katoriki.

Bila maujanja ya wakurugenzi CCM ilipoteana.

Diallo ana siri nyingi sana.
 
Mnajidanganya mno kudhani uovu wa Magufuli aliofanya wa kutawala nchi gizani kwa hadaa na uongo uongo unaweza kuwapa faida. Hapana. Mtavuna mbegu ya uovu aliyopqnda Magufuli.

Mimi niko kanda ya ziwa. Hizo siasa zenu watu wa kanda ya ziwa wala hawana habari nazo. Wanamuunga mkono raisi Samia asilimia 90. Wanatambua jitihada zake za kuirudisha nchi kwenye utawala wa sheria kutoa mikononi mwa watekaji na wauwaji. Viongozi laghai wanaopika data kudanganya wanyonge wasiojitambua.
 
Labda kanda ya Ziwa Makunduchi
 
Asije akaleta pua yake Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…