real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
Nadhani umeisahau Nyamagana Mwanza pale 2010 ilishinda Chadema ila 2015 na 2020 japo mlishinda ila haki yenu iliibiwa na yule bwana mdogo yupo pale kwasababu ya Mkapa na Magufuli.Hivi kuna mtu alimshambulia JPM kama Lissu? Mbona kampeni zake zilipata reception nzuri Kanda ya ziwa kuliko hata Dar Es Salaam??
Imagine Geita Mjini CCM ikashinda kwa 60% pekee!! So hizi ni propaganda tu ila kwa ground wasukuma miaka mingi sana wamekuja wakisupport upinzani.
Kuhusu wakurya na wahaya si kweli, Mara ndio ilikua na wabunge wengi wa upinzani kuliko mikoa yote Kanda ya ziwa. Kumbuka Bukoba tulikua na halmshauri na kama sio visa vya 2020 majimbo tungebeba sio chini ya 3 Kagera.
Sehemu ambayo ni CCM 100% labda Tabora tu ndio wapo usingizini Bado. Ila come 2025 Maeneo kama Bukombe, Bariadi, Geita Mjini, Shinyanga Mjini, Kahama, Meatu, n.k yanaangukia upinzani.
Mlaji ni mla Leo mla jana Kala nini?. Usilete ya JK ya 2010, hayo ni ya kale sana na hayanuki!, sikilizia 2025 SA 💯 atakavyo kinukisha hiyo 2025.Assignment ya nini? Mwaka 2010 jakaya alikula kichapo mpaka akasingizia waraka wa kanisa katoriki.
Hayo maujanja ni tactics, the end justifies the means, the winner is the winner and the winner takes it all.Bila maujanja ya wakurugenzi CCM ilipoteana.
Atakufa nazo hizo siri zake na anaelekea ukingoni, CCM Mwanza tunaleta damu changa!.Diallo ana siri nyingi sana.
Wewe unajulikana kwa unazi wako kwa siasa za hovyo za Mwendazake!Labda kanda ya Ziwa Makunduchi
Ahaaa. Nakuambia hivi kilichotokea 2010 kwa CCM kinakwenda kuwa worse zaidi.Mlaji ni mla Leo mla jana Kala nini?. Usilete ya JK ya 2010, hayo ni ya kale sana na hayanuki!, sikilizia 2025 SA 💯 atakavyo kinukisha hiyo 2025.
Hayo maujanja ni tactics, the end justifies the means, the winner is the winner and the winner takes it all.
Atakufa nazo hizo siri zake na anaelekea ukingoni, CCM Mwanza tunaleta damu changa!.
P
Huyu Zitto anapaswa kususiwa na watanzania wapenda maendeleo bila rushwa katika kila kona ya nchi.
Maadam wino upo, tusiendelee kuandika mate wakati wino upo!.Ahaaa. Nakuambia hivi kilichotokea 2010 kwa CCM kinakwenda kuwa worse zaidi.
2010 walikuwepo akina mzee Mkapa waliweza kuintervene na kupoza hali.
Maujanja ya wakurugenzi yalishawachosha watanzania na huenda 2025 kukawa na mabadiliko makubwa sana ambayo yataongeza anguko la CCM kanda ya ziwa.
Hawezi kufa nazo hizo siri. Amemza kudisclose mambo mengi. Ngoja niishie hapa.
🤣🤣Zitto anafikiri sisi ni walala njaa kama huko kwao. Naunga mkono hojaSisi kama kanda ya ziwa tuna subiri UMOJA PARTY wasajiliwe na Msajili wa Vyama vya siasa tumalize kazi yetu😂😂
Wewe nimekushauri jipange 2025 ugombee tena.Watanzania wamsusie kwa kumsema dhalimu?
Wewe nimekushauri jipange 2025 ugombee tena.
Ahaaaa. Zitto atambe kand ya ziwa?Nigombee nina hata kadi ya chama chochote? Acha Zito atambe huko kanda ya ziwa, dhalimu hakuwa na haki miliki ya huko, labda kwa propaganda kwenye mazoba.
MWANDIGA kwenyewe hawamtaki hata akigombea udiwana,achilia mbali Kigoma yote,labuda Makunduchi.Ahaaaa. Zitto atambe kand ya ziwa?
Kanda ya ziwa haijawahi kuibebaba CCM hata kidogoSisi kama kanda ya ziwa tuna subiri UMOJA PARTY wasajiliwe na Msajili wa Vyama vya siasa tumalize kazi yetu😂😂
Usitusemee kanda ya ziwa jisemee mwenyeweSisi kama kanda ya ziwa tuna subiri UMOJA PARTY wasajiliwe na Msajili wa Vyama vya siasa tumalize kazi yetu[emoji23][emoji23]
Wewe kwani ni mwakilishi wa kanda ya ziwa kuwasemea watu wote wa Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita na Kagera.Kifo cha Magufuli kimeiumiza kanda ya ziwa sasa yeyeto anaye mdhihaki au kumponda Magufuli lazima achukiwe
Sio Zito na chama chake pekee, hata Samia, Mbowe wanachukiwa balaa
Kikipatikana chama na kiongozi anayejua uchungu wa kufiwa kwa kuwafariji kanda ya ziwa na kutowadhihaki atabeba kura zote
Hata Mama yako Mwenyewe ni Mbaguzi maana anampenda Babayako tu?Kanda ya ziwa Wana asili ya ukabila na ubaguzi.
Hawafai kuongoza taifa
Lete sample yako na procedures zake?Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇View attachment 2208901
Mtu huna elimu alafu unasumbua wenye elimuLete sample yako na procedures zake?
Uliwahoji wangapi?
Wenye mlengo gani, umri gani, elimu gani, wanaoishi wapi? Walifanya kazi gani na uliwapataje?
Uliwauliza maswali gani? Lengo lako nini?
Wewe upo mlengo gani?