Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

Nenda kawafundishe kutoa mimba kama hawa wa mjini unaohisi wanapata muda wa kula ujana.
 
Ndoa za utotoni zipo, sehemu kubwa ya dunia imekubaliana binadamu walio chini ya miaka 18 bado ni watoto.
Hivi ni umri gani kwa binti kukoma kuwa mtoto? Ukimchukua mvulana wa miaka 18 na binti wa umri huo watakuwa sawa kimtazamo? Kwa nini haishauriwi kuoa binti mnae lingana umri bali mwanamume awe amezidi umri?
 
Mwanamke yuko ahead miaka saba tofauti na mwanaume
 
Mtoto mmoja mwenye miaka 15 ana thamani ya ng'ombe 30 hadi 35 na mkoja wa bibi mmoja, blanketi la babu pamoja na katambuga za mjomba

Kwanini wenye mang'ombe wasijichukulie maana ufahari si kua na mang'ombe mengi au nakosea ndugu zangu wasukuma?
 
Mwanamke yuko ahead miaka saba tofauti na mwanaume
Ok kwa hesabu rahisi, 18 - 7 = 11. Ndio maana siku hizi vitoto vya miaka 12 vinayumbisha ndoa za wamama watu wazima. Sasa iweje umri wa kuolewa kwa binti uwe sawa na mvulana? Kama binti wa miaka 18 ni sawa na mvulana wa miaka 25, kwa nini uwekwe umri sawa wa utu uzima?
 
Stage one,
Madai Mabinti wanaolewa umri mdogo vikiambatana na campaign kabisa ya kuhimiza hilo ili jamii yote ijue bila ya kuja na utatuzi...refer to ongoing campaigns

After many many campaigns...

Final stage...
Mabadiliko yakisheria kuruhusu mwanamke kuchagua MTU wakumuoa bila kujali JINSIA YAKE, TAMADUNI na IMANI yake..Pia mwanamke anayo haki yakumuacha mwenzi wake( hapa halitatumika neno mume) kadili ya atakavyojisikia.

Kundi flani hivi limefanikiwa...
 
Tunakoelekea kunatisha
 
Mvulana wa miaka 18 bado sana tu hawezi kutunza mke na mtoto atleast miaka 25 ndio anaanza kujitambua.ila binti wa miaka 18 anaweza kuolewq na kutunza mji
 
Mvulana wa miaka 18 bado sana tu hawezi kutunza mke na mtoto atleast miaka 25 ndio anaanza kujitambua.ila binti wa miaka 18 anaweza kuolewq na kutunza mji
Inategemea na factors mbalimbali. Wakati huku tunagongana kuhusu umri wa kuoa hebu tuone huko Marekani wanaofadhili hizo haki feki za wanawake:

Ona umri wa Massachusetts miaka 12 na New Hampshire miaka 13?
 
Hivi unadhani kimwili na kiupeo tuko sawa na hao wazungu,mbwa wa kizungu tu ana akili kuliko mwafrika,nilienda kigoma robotatu ya mabinti wana chini ya futi tano,wamedumaa mwili na akili,
 
Mvulana wa miaka 18 bado sana tu hawezi kutunza mke na mtoto atleast miaka 25 ndio anaanza kujitambua.ila binti wa miaka 18 anaweza kuolewq na kutunza mji
Inategemea na factors mbalimbali. Wakati huku tunagongana kuhusu umri wa kuoa hebu tuone huko Marekani wanaofadhili hizo haki feki za wanawake:

View attachment 2402286View attachment 2402287
Hivi unadhani kimwili na kiupeo tuko sawa na hao wazungu,mbwa wa kizungu tu ana akili kuliko mwafrika,nilienda kigoma robotatu ya mabinti wana chini ya futi tano,wamedumaa mwili na akili,
Sasa niambie, kwa nini tunafuata sheria na taratibu zao huku tukiwa kama kuwa hawana akili na upeo? Kila kitu chetu tumekibadilu kuwafuata wao, hata huu ujinga wa ndoa ni wao chanzo, haki za wanawake ni wao, umri wa mtu mzima ni wao, wanetuwekea ma NGOs kibao na wanafafhiku miradi lukuki ya kijinga lakini tumeipokea na kuitungia sheria. Nyota ya kijani, vidonge vya majira, nk. Tuna kipi sisi cha kutufanya tuna akili na weledi kuliko wao zaidi ya mdomo mwingi? Subiri kidogo, ndoa za jinsia moja ziko mlangoni.
 
Kwa mabinti na wanawake wa kizazi hiki ni ngumu kuwalinda maana wao wenyewe wamejaa upuuzi mwingi ndani ya vichwa vyao.

Utakataza wasiolewe chini ya miaka 18 lakini sasa hivi mabinti wengi wanajiingiza kwenye vitendo vya ngono wakuwa na umri wa miaka 13 tu sasa hapo unakuwa umesaidia nn?
Utakikataa asiolewe atakuwa mtoa mimba kitu ambacho ni hatari kuliko hata huko kuolewa.

Kinacho takiwa hapa ni ww kutumia nafasi yako uliyo nayo ndani ya jamii kuhisii iache kuhusudu uzinzi ,jamii yetu imeufanya uzinzi kuwa ni kipaumbele kuliko kitu chochote na ndo chanzo cha haya yote.
 
Mzee mbona unajichanganya. Umesema ktk 100 utakuta wawili ndo wamekula hela ya mahar alaf ukasema wakimaliza la saba tu wanaolewa!.

Sasa mbona hesabau zako zinapishana na maelezo yako
 
mwanamke asome kufuta ujinga tu kisha aolewe haya ndio maumbile yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…