Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Halafu nyumba zetu za zege, mtetemeko kidogo tu jumba linakongoroka.
 
Jmani hivi bado kuna bati za rangi zinazopauka baada ya muda mfupi kuwezekewa??? wenye uelewa mtusaidie jamani mifuko yetu midogo na tunaogopa kushikishwa wadau
 
Hivi kuna warning za tetemeko.......!!?
 
Ni Geological Survey of Tanzania GST sio hio ulotaja hapo....Ila m pia naungana na wewe kwanini wasiwe wao wa kutujuza kilichojili badala yake tunategemea US
 
Hadi sasa hakuna ishara ambayo huwa inawaweza onesha kuwa tetemeko litatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi sasa hakuna ishara ambayo huwa inawaweza onesha kuwa tetemeko litatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna rafiki yangu mkenya anafanya research ya kukusanya seismic signal patterns ili kuweza kudefine discriminant line kati ya kutokea na kutotokea kwa tetemeko. Ana vifaa vinavyokuwa vinarekodi seismic activities ardhini. ila ninachooana anapokwama ni kuwa anakusanya data sehemu moja halafu tetemeko linatokea sehemu nyingine. Katika sehemu zote ambazo amewahi kukusanya data huwa ni baada ya tetemeko kutokea na sidhani kama hiyo itasaidia kutabiri matokeo ya matetemeko. Ila inavyoonekana ni kuwa wataalamu wa matetemeko wanalifuatilia jambo hilo kwa karibu sana.
 
Polei sana...

Ila mkae mkijua tu, serikali haitambui majanga kama hayo...



Cc: mahondaw
 
Tetemeko dakika moja mkuu?? Si nyumba zote zitakuwa chini? La ukubwa gani?
lazima kama kuna ghorofa zilijengwa chini ya kiwango zimeanguka, yan mkuu lilikuwa kubwa utadhani kuna mtu anakutingishia kitanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…